Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hivi Kiswahili ni lugha ya Mwingereza ama Mwafrika? Tukiwaambia nyinyi ndio watumwa mnatuona wachokozi. 🀣 🀣
 
Utsema kavuta ngada manake kazunguka weee ila kisu kakutana nacho 🀣🀣🀣
Sasa wewe unaamini Misri ina masikini wengi kuliko Tanzania? πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumuelimisha mtanganyika ni kazi sana
 
Sasa wewe unaamini Misri ina masikini wengi kuliko Tanzania? πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumuelimisha mtanganyika ni kazi sana
Misri ina population of over 100m unategemea wote watakua matajiri au??🀣
 
Sasa group stage pia ni kitu ya kupigia kelele? Siku hizo timu zenu zitakutana na Gor Mahia tena ndio mtajua they are just pretenders.
Sasa tunaenda robo fainali kaa mkao wakula team zote zinaingia robo fainali na ukumbuke kila stage hapo ni pesa tu zinaingia 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…