Kwamba Tanzania inashinda hadi USA, a country of over 200 million people and where almost everybody owns a carππππππTanzania ina magari mengi kuliko East and Central Africa combined.View attachment 2547500
Kwa hiyo number nashangaa mbona Japanese manufacturers hawaweki plants hapo Bongo. Kenya tuna Isuzu Toyota na Nissan na bado wanasema wako mbele yetu.π€£π€£Kwamba Tanzania inashinda hadi USA, a country of over 200 million people and where almost everybody owns a carππππππ
Kwa kujiliwaza hamjambo mibongolaa!
We jamaa bado mshamba sana.Alliance High School - A public School
Tofauti ya uswazi na slums ni kwamba uswazi ni nyumba ambazo hazina mpangilio, slums ni nyumba ambazo hazina mpangilio na ni hatari kuishi binadamu wa kawaida. Uswazini kuna nyumba zina kila kitu na mpk nyumba za kishua unazikuta, lkn slums ni nyumba za mabati, makuti na tope zilizozungukwa na kinyesi cha binadamu, kuku, mbwa, ng'ombe na kila kitu.Jiji lenu ni uswazi mwanzo mwisho. Kuna tofauti gani kati ya hapo Msimbazi na Gongo la mboto, Vingunguti, Gongo la mboto, Keko, Tabata, Mazense, Tandale, Buguruni na maeneo mengine ambazo zote ni uswazi?
shule Mzungu kajenga hii, kunyaland hamna uwezo wa kujenga shule kama hii ya mkoloniKenya High School - A public school
Rudi shule, hizo gari hazina soko kule USA.Kwamba Tanzania inashinda hadi USA, a country of over 200 million people and where almost everybody owns a car[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kujiliwaza hamjambo mibongolaa!
uchumi wenyewe ndio huu wa kula mavi ya ng'ombe na maji? ππππThey'll use all manner of adjectives to demean GDP but deep inside, wanatamani sana uchumi kubwa ππππ
Mitanganyika jamani!
Kwa ss hamna guts za kuongelea uchumi mbele ya Tz, kaongeeni na Burundi huko, for now tunawakaribisha kuomba misaada ya kuwapa pesa mana hamna uwezo wa kujilisha japo kwa mwezi mmoja bila mkopo.They'll use all manner of adjectives to demean GDP but deep inside, wanatamani sana uchumi kubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mitanganyika jamani!
Kwani huko kwenu hamtumii Mabasi.? Mada ni Mabasi mjomba usilete story za ndege, ukifika muda wa story za ndege namba zitaletwa pia.. au umeumia.? π€£π€£Safari za mabasi? ππππ
ungetuonyesha za ndege you could have made a lot of sense!
america wanatumia gari zao wenyewe na za europe pia kwa gari za japan ni chache america so unategemea nn hvi nyinyi shule hua munaenda kusoma kitu gani hata kufiria hilo pia huwezi π€£π€£π€£π€£Kwamba Tanzania inashinda hadi USA, a country of over 200 million people and where almost everybody owns a carππππππ
Kwa kujiliwaza hamjambo mibongolaa!
Kwamba hapa kuna kila kitu na nyumba za kishua? πππTofauti ya uswazi na slums ni kwamba uswazi ni nyumba ambazo hazina mpangilio, slums ni nyumba ambazo hazina mpangilio na ni hatari kuishi binadamu wa kawaida. Uswazini kuna nyumba zina kila kitu na mpk nyumba za kishua unazikuta, lkn slums ni nyumba za mabati, makuti na tope zilizozungukwa na kinyesi cha binadamu, kuku, mbwa, ng'ombe na kila kitu.
Kenya nzima imezungukwa na ma slums ya kila aina na ndiyo maana hata life span ya mkenya ni ndogo kulinganisha na mtanzania, inasadikika kwa ss pale Nairobi kuna over 3 milion slum dwellers na nna uhakika more than 100% hata wewe ni slum dweller.
Angalia hapa ni data ya 2019, Nairobi pekee kuna slum dwellers over 2m.View attachment 2547939