Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uwekezaji ka huu lazima GDP kuna points itaongezeka tuuu
 
Ndivyo walivyo hao mkuu, wanatuogopa Sana, Kila tunachofanya wanahisi tunawalenga wao

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Magufuli alisemaga Watanzania tusijifungie ndani tuchape kazi tulime sana kisha baadae tuwauzie hao waliojifungia ndani kwa bei kubwa, duniani kote Tanzania haikujifungia ndani lakini cha kushangaza wakenya ndio walikua offended kuliko majirani wote 8 tulionao waliokua kwenye lock down (kasoro Burundi)

walimtukana sana Magufuli kipindi kile kwamba ana roho mbaya na ana wivu na Kenya utafikiri aliwataja.
 

What are the key features of Kinzhal missiles?​

  • Kinzhal is an air-launched ballistic missile that is capable of carrying nuclear or conventional warheads.

Russia hawq
 
Tanzania navy patrols Mozambique channel

 
Walifurahi Sana waliposikia Magufuli amekufa, Sasa hii kauli ya mama ndio imewamaliza kabisa

Hawa jamaa wanahisi Kila tunachofanya ni kwa ajili Yao.Amina Mohamedi alipokosa uenyekiti wa AU, wakaeneza uvumi kwamba Tanzania hatukumpigia kura, wanataka kujisogeza kwetu kuonyesha kwamba tunawajibika kwao kwa Kila jambo, hovyo Sana hawa jamaa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…