Na hii ni dalili kua hawa jamaa mawazo yao mengi walikua wakifkiri dunia haizunguki yani mawazo yao wanahisi tanzania au uganda ni zile za 90s 😆😆 yani hawana exposure ya kujua dunia iko wapi na imefika wap yote ni kwasababu wanadanganywa na wanasiasa ambao wanajitajirisha
Hii ni jana na kuna mtu kaniambia tayar imeshaporomika mpaka 16 sasa hvi 🤣🤣
View attachment 2543043
Yeah special livery ni plan nzuri ya kutangaza tourism sio kwenye hiyo tu dreamliner na airbus zote 4 na mAx 9 ziwe na liveryHapo kwenye rangi nyeupe wangepiga rangi inayo reflect mambo ya Tanzania kama utalii kwa kuweka picha za wanyama au cultural paint.
Duh! Mimi nilipredict mpaka December itakuwa 15 kumbe hali ni mbaya kuliko nivyokuwa na fikiria!Hii ni jana na kuna mtu kaniambia tayar imeshaporomika mpaka 16 sasa hvi [emoji1787][emoji1787]
View attachment 2543043
Ha ha ha labda uwadanganye ambao hawakuwahi kufika Mombasa. Hapo Burhani tower kwa chini wanauza maji kwa ndoo! Nilishangaa sana ngoja nirudie kurusha zile picha za Mombasa.Mwanzo na mwisho wa Dar hapa Kenya ni hapa👇👇..., ndio size yake...,
Mombasa
Hii kitu kila siku tumekuwa tukiwaimbia humu ndani hawa jamaa hawana prioritization nzuri kwenye miradi yenye tija kiuchumi hata leo mimetoka kuwaonyesha wapi wamekosea badala ya kusingizia global recession.
Kipindi Cha uongozi wa Uhuru na Rutto. Dr.David Ndii alikua upande wa upinzani, alikua anawaambia Kama wewe unavyosema, jambo la kusikitisha ni kwamba, hivi Sasa yeye ndiye mshauri mkuu wa Rutto katika uchumi lakini anafanya ujinga uleule aliokua akiupigia keleleHii kitu kila siku tumekuwa tukiwaimbia humu ndani hawa jamaa hawana prioritization nzuri kwenye miradi yenye tija kiuchumi hata leo mimetoka kuwaonyesha wapi wamekosea badala ya kusingizia global recession.
Hivi kwa akili ya kawaida kabisa hata kama hujaenda shule unaweza kuhangaika kutafuta funds za kujenga railway city while majority of your citizens are dying of hunger? Why don't you prioritise dams for irrigation to increase acreage under food cultivation hapo uta solve tatizo la njaa na ku reign in on inflation pamoja na kupunguza imports na kuongeza exports.
Hata mtoto wa primary atakuambia hii ni sahihi.
Sindano inaingia taratibu
Bro, we acha tuu, sasa ngoja reli, ndege, bwawa na bandari zote zikamilike, utaishangaa nchi yako mwenyewe.Wakenya wanajutia kitenda Cha kumcheka Magufuli
Mama kifua hana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii never never never aliyoisema ndiyo ipi?
hhahahahahaha, hivi hawa wakunya tulionao huku jf wanatoka kenya gani????au ni kutoka zile familia za wala keki ya taifa, mkunya wa kawaida anaiona kunya kama shimo la motoo