ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ww ni chizi kabisa hio golf iko nyuma ya serena hotel ambayo iko CBD sasa ulitaka isiwepo CBD au??? Hio nairobi CBD nimechukua mpaka downtown yote 🤣🤣 nilikwambia dar CBD ni kubwa sana kuliko CBD yenu infact imekusanya mpaka downtown residence area yote wanaoishi wahindi wenuNairobi CBD unatuonyesha commercial center pekee without parks, museum and railway station alafu Dar unaweka hadi golf course plus museum and recreational areas. Watu sio wajinga bana. 🤣 🤣 🤣 🤣 Angalia tena hizo screenshot zako uone nusu ya area unaita CBD in Dar ni kiwanja tupu.