Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakati ukiendelea kutoa povu la kujifariji,acha nikudunge sindano nyingine.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
maumivu yake bado mnaugulia mpaka leo[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
bloggers wa Kenya hulipwa pesa nyingi sana. unashangaa mtu anaanza kutweet tangu saa moja asubui hadi saa nne usiku 24/7/365 lakini maisha yake huyawezi na wala hatembei kwa mguu.
 
msisitizo:
"wasee" wa pinnacle tuleeni hata picha tuone mafundi ujenzi wakiwa site.[emoji23] [emoji23]
 
another big project is taking shape in dar es salaam.
the ongoing construction of kijichi - tuangoma road and bridges....to be completed on february/march 2018.

things are moving very fast as were planned...hapa kazi tu.
 
Wakikuletea plz nitag😀😀😀😀
nilianza kuwaomba waniletee picha za mafundi wa pinnacle tower wakiwa site tangu mwezi wa july....mpaka leo hawajaleta picha.

NB:
kuna kapicha kamoja tu kila siku ndio hakohako...ukiwakaba sana,huwa wanaka-upload.
haka hapa[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116][emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hilo jengo hadi limalizike ni 15years, hawa wakora jf watakuwa washazeeka kutokana na ugumu wa maisha walionao.
 
Zitabaki kua renders and i love renders
 
jipya liko wapi?
jipya?...wakenya bado mnaugulia maumivu ya kuporwa mradi wa pipeline na tz.

screenshot below shows a few days ago(6days ago) ,an emotional and bitter kenyan tweeted about this issues.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Hilo jengo hadi limalizike ni 15years, hawa wakora jf watakuwa washazeeka kutokana na ugumu wa maisha walionao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Zitabaki kua renders and i love renders
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
bloggers wa Kenya hulipwa pesa nyingi sana. unashangaa mtu anaanza kutweet tangu saa moja asubui hadi saa nne usiku 24/7/365 lakini maisha yake huyawezi na wala hatembei kwa mguu.
hizi porojo zako kawadanganye wakora na ma-jobless wenzio kule JamiiForums.com.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…