Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watoto wazuri wanaofanya Dar izidi kuwa tamu na nzuri. Vijana wa Nairobi, karibu Dar
Flaviana-Matata.jpg

Happiness-Millen-Magese.png

Odama_Jennifer_Kyaka.jpg

masogange.jpg
 
hahahaha eti watz hununua bidhaa chini ya miti...lakini ukweli...hawa jamaa heri mtu aende pale kariakoo kuliko aingie supermarket...

ukweli ni kwamba kununua bidhaa kwenye supermarket sio utamaduni wa wetu wengi wa EA.

baadhi huchukulia ni kama ulimbukeni fulani hivi.

kwa mfano,wengi hawapendi kununua vyakula kwenye ma-supermarket kutokana na vya vyakula vingi vya supermarket ni junk food.

binafsi huwa nanunua vyakula kwenye local food market kwasababu vingi ni original na vinalimwa katika mashamba ya kawaida nchini.

kwangu mimi supermarket huwa naenda tu kwaajiri ya kufanya special shopping kama mavazi na home appliances.

kitu kingine ambacho nime-observe
kwa watu wa EA,wengi hutembelea malls kwa kufanya refreshment tu na sio kufanya manunuzi.

nimeliona hili hata nairobi,majority wanaenda kwa ajiri ya kusafisha macho na sio kufanya manunuzi.vijana kutumia malls kama sehemu ya kutafuta wachumba wa kuanzisha nao urafiki wa mapenzi na sio kufanya shopping.
 
hizi ndiyo estate wanazoishi wakenya dahh aisee ni pabaya sijawahi kuona

22a22db821ef522e4a41bd37175032ae.jpg
 
ukweli ni kwamba kununua bidhaa kwenye supermarket sio utamaduni wa wetu wengi wa EA.

baadhi huchukulia ni kama ulimbukeni fulani hivi.

kwa mfano,wengi hawapendi kununua vyakula kwenye ma-supermarket kutokana na vya vyakula vingi vya supermarket ni junk food.

binafsi huwa nanunua vyakula kwenye local food market kwasababu vingi ni original na vinalimwa katika mashamba ya kawaida nchini.

kwangu mimi supermarket huwa naenda tu kwaajiri ya kufanya special shopping kama mavazi na home appliances.

kitu kingine ambacho nime-observe
kwa watu wa EA,wengi hutembelea malls kwa kufanya refreshment tu na sio kufanya manunuzi.

nimeliona hili hata nairobi,majority wanaenda kwa ajiri ya kusafisha macho na sio kufanya manunuzi.vijana kutumia malls kama sehemu ya kutafuta wachumba wa kuanzisha nao urafiki wa mapenzi na sio kufanya shopping.
la hasha, skuizi kuna mboga, nyanya, vitungu, keki, nyama ya kuku, beef, matunda na kadhalika kwenye supermarket na sio lazima unde supermarket kununua junk food pekee yake...Pili bei za suprmarket kama Naivas ziko friendly sana kwa mwananchi wa kawaida ama mwananchi wa low-income hata kuliko maduka madogo madogo...
 
Umeshawahiwa na majizo x wa hamisa mobeto. Owner wa efm radio. Nikutafutie mtoto itanipa pesa kiasi gani?
mbona naja Tanzania December? nikishindwa na lugha nitakutafta ndugu...lazima nikule mabinti wa Bongo...watamu sana...nimetaka sana pia Ethiopia ila language barrier
 
Back
Top Bottom