Hii hapa sio mm nimesema 🤣🤣🤣🤣 ni world bank wenyewe na wao ndio wamesema zimbabwe ina nafuu 17% kuliko kenya in extreme poverty na utambue zimbabwe ndio ilikua nchi maskini dunianiThe same WB had this to say about extreme poverty in Tanzania na ni ripoti ya 2020 kama sijakosea View attachment 2540615
Ni kweli Kenya ni masikini wala hakuna anayepinga hilo ila kuna masikini zaidi kutulikoWe just shut up! Unafikiri Kwa nini wenzio wamekimbia battle!?
Kenya ni masikini kuliko.....hali zenu ni mbaya! Ila najua huna bundle. Huwezi soma hizo post za nyuma!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni kweli Kenya ni masikini wala hakuna anayepinga hilo ila kuna masikini zaidi kutuliko View attachment 2540623
Unakwama na taarifa ya 2019 wakati ya 2020 inasema vinginevyoHii hapa sio mm nimesema 🤣🤣🤣🤣 ni world bank wenyewe na wao ndio wamesema zimbabwe ina nafuu 17% kuliko kenya in extreme poverty na utambue zimbabwe ndio ilikua nchi maskini duniani
Na tanzania ndio inaongoza kwa rate kubwa ya poverty reduction in africa hio naomba uweke akilini 🤣🤣🤣
View attachment 2540619
Mbona unacompare starvation na extremely poverty? Huko kwenu masikini wako milioni ngap?Only 5 million Kenyans are facing starvation. Does that compare with 28 million people in Tanzania who live in extreme poverty?
Haha pale penye ukweli utasemwa tu wala usihofu.Ingekuwa eti Kenya ndio imewekwa mbele kwenye hiyo taarifa, ungesikia vile watanzania wangevamia hiyo post na kauli za "data za kupikwa"
Watanzania ni watu wa ajabu sana. Yani kwao data/taarifa ni ya kweli tu pale Tanzania inapotajwa mbele ya Kenya. Ikitokea vice-versa, eti data sasa imepikwa [emoji2][emoji2]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ukweli hautabadilika mark my wordsUnakwama na taarifa ya 2019 wakati ya 2020 inasema vinginevyo
Kesho nenda kaungane na Omosh One Hour kwenye maandamano ya Baba kuhusu hali mbaya huko unyang'auni. Acha kutupigia kelele hapa.The same WB had this to say about extreme poverty in Tanzania na ni ripoti ya 2020 kama sijakosea View attachment 2540615
You can't starve if you are rich, that's not logical. All those starving people are counted as people living in extreme poverty because they can't afford the most basic need which is food.Mbona unacompare starvation na extremely poverty? Huko kwenu masikini wako milioni ngap?
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ww kweli unahitaj maombi ukiskia starvation maana yake ni zaidi ya extreme poverty wapo watu wako kwenye extreme poverty na wanakula walau milo miwili wengine mpaka mitatu kabisa lakini wako kwenye extreme povertyYou can't starve if you are rich, that's not logical. All those starving people are counted as people living in extreme poverty because they can't afford the most basic need which is food.
About numbers, that's a subjective matter. There's no report that'll give you the exact figure. It's estimations, but of course done scientifically. The last WB report estimated that 20 million Kenyans live in extreme poverty. I hope that answered your question
And you believe the situation is any better in your country?? what a dumbasa you are!Kesho nenda kaungane na Omosh One Hour kwenye maandamano ya Baba kuhusu hali mbaya huko kwa nyang'au.
Bongolala, that report was comparing lower-middle-income countries. Kwa wakati huo, bado mlikuwa mmekwama kwenye lile tope la LDC.
Secondly, 40% of Kenyans is 20 million. Nyinyi the same World Bank wanasema idadi ya watu wanaoishi in extreme poverty ni 28 million. Sasa kati ya 20 million na 28 million ni gani nyingi?
Kumuelimisha mtanganyika ni kazi kweli tena yahitaji mshahara nono
Njaa ndio kipimo Cha chini kabisa Cha kupima umasikini duniani, mtu anaweza kuwa masikini kwasababu hana viatu, hana pesa ya matibabu, hana nguo lakini anapata japo mlo mmoja.Stop hiding behind njaa and look at the bigger picture. They say figures don't lie. There's no way you can convince anyone that 5 million is bigger than 28 million
20M people that is 40% of you're Population...Africa WhyYou can't starve if you are rich, that's not logical. All those starving people are counted as people living in extreme poverty because they can't afford the most basic need which is food.
About numbers, that's a subjective matter. There's no report that'll give you the exact figure. It's estimations, but of course done scientifically. The last WB report estimated that 20 million Kenyans live in extreme poverty. I hope that answered your question
Wacha kujiliwaza, juzi tu Eric Omond alienda kugawa unga kwa wenye njaa na alikamatwa na polisi, nchi yenu ya hovyo Sana.And you believe the situation is any better in your country?? what a dumbasa you are!
The beaty with us Kenyans is that we bring the government to task when we fill something is getting out hand or there are many unanswered questions. Wewe jaribu kuandamana hapo Tandale kama utarudi kwako na kende zako zote mbili
Weee jaluo acha kunijibu na hicho kizungu chako cha kukariri🙂And you believe the situation is any better in your country?? what a dumbasa you are!
The beaty with us Kenyans is that we bring the government to task when we fill something is getting out hand or there are many unanswered questions. Wewe jaribu kuandamana hapo Tandale kama utarudi kwako na kende zako zote mbili
Show any video like this from any other country in EA, including BurundiYou can't starve if you are rich, that's not logical. All those starving people are counted as people living in extreme poverty because they can't afford the most basic need which is food.
About numbers, that's a subjective matter. There's no report that'll give you the exact figure. It's estimations, but of course done scientifically. The last WB report estimated that 20 million Kenyans live in extreme poverty. I hope that answered your question
Yes, South C to be precise, shot from Ole Sereni.As seen from South B/South C area
Apo kijitonyama niliishi Mwaka mzima mtu akisema kuna Slum apo ananishangaza sanaHii ndio slums kwa kutumia kenya standards au ??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2540559View attachment 2540560View attachment 2540562View attachment 2540563