Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kudos to Kwathanze Girls for winning Africa High schools volleyball championship… sasa wait for the Bongo haters to say how volleyball is not a sport unless it’s a Bongo school winning… Wajinga sana..
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] 3/4 ?
On serious note,

Kenya iko katika hali mbaya sana in every aspects. Kiuchumi, kiusalama, kijamii yani ni hovyo sana.. Na plus saiv mihimili mikubwa inasuguana kuhusu jambo la upinde wa mvua ni tafrani sana.

Wana pitia katika moto mkali sana, na muda wa kuishi kwenye uhalisia Sasa. Viongozi wao wamezoea kuongeza figure kubwa ya GDP na wao wanashangilia tu.. Kumbe ukubwa wa GDP ni kutokana na ukubwa wa Government Expenditures. Wanachota tu na kuwapa maneno laini hawa wakunye wenye utapia mlo wa akili bhas wanaropoka tu kama kasuku GDP kubwaaa..

Hakuna kuwaonea huruma... Wakae nyuma ya Burundi tu Sasa maana ndio hadhi yao Kwa Sasa.
 
A current location ✨. All way from Dar
Screenshot_20230304-213612_Maps.jpg


Hizo mistari ya njano unaambiwa ni barabara kuu. Afu hawa wajinga wa kaskazini wanasema wana barabara nyingi kutuzidi
Screenshot_20230304-214635_Maps.jpg
 
Tofauti ya Kimara-Kibaha high way na Thika jua kali type road ni quality, pia BRT lanes. Angalia ubora na uzuri wa hii highway hadi raha, kama mbele mwanangu [emoji8][emoji8][emoji1241][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90]View attachment 2537007View attachment 2537008
Halafu imejengwa na kampuni ya kitanzania kwa hela za ndani.
 
A current location ✨. All way from Dar
View attachment 2537335

Hizo mistari ya njano unaambiwa ni barabara kuu. Afu hawa wajinga wa kaskazini wanasema wana barabara nyingi kutuzidi
View attachment 2537349
The yellow lines tell the class of the road, not the quality. Tumia akili.
Wacha nikupe mfano kama mtoto mjinga. Hii barabara B8 ni class B, yani National Trunk Road, kwa Google maps inaonekana kama yellow ila on ground ni vumbi tupu.
Screenshot 2022-12-09 000249.jpg
Screenshot 2022-12-09 000249.jpg
 
Back
Top Bottom