Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huku kibondo kuna miradi ya maji. Maji yako full 😀.. wakat mjin naibaby nchin kunyaland kuna shida ya maji 🚶‍♂️
20230304_172156.jpg
 
Failed state inawazidi kwa utumizi wa gesi nyumbani. You should even be ashamed of yourselves!
We kweli kima, 99% ya kampuni za gesi Kenya ni za kitanzania, huku kwetu kuna investment kubwa ya kampuni za gesi kuliko nchi zote za East and Central Africa combined, mnawezaje kutukaribia kwenye matumizi ya gesi.
 
Uzuri ni kuwa huku Kibondo au Kigoma in general, barabara nyingi zinachongwa ili niwekewe lami

20230304_172440.jpg
20230304_172716.jpg
20230304_172748.jpg
20230304_172454.jpg
20230304_172627.jpg

Uzuri wa kigoma: Jua mchana lipo kwa wingi lkn hutoki jasho
Ubaya wa kigoma: Ukiachana na ofisi au nyumba kwa ndani, sehem nyingine kote either dukan, bar, etc, kila unapokaa lazima ukute vumbi 😀
 
Uzuri ni kuwa huku Kibondo au Kigoma in general, barabara nyingi zinachongwa ili niwekewe lami

View attachment 2537085View attachment 2537091View attachment 2537096View attachment 2537086View attachment 2537101
Uzuri wa kigoma: Jua mchana lipo kwa wingi lkn hutoki jasho
Ubaya wa kigoma: Ukiachana na ofisi au nyumba kwa ndani, sehem nyingine kote either dukan, bar, etc, kila unapokaa lazima ukute vumbi
Mazingira ya Kenya hayo na shit hole zingine za EA kama Uganda.
 
They didn't run away, they simply expanded into Tanzania and invested very little money there because of your limited purchasing power. Mention any Kenyan company that wound up its business in Kenya and came to invest in Tanzania
Ww kweli ni chizi kwa taarifa yako rostam ndio anamiliki tigo na zantel mobile network companies in tanzania 🤣🤣🤣 na ana shares vodacom tanzania anamiliko taifa gas tanzania and kenya ana miliki caspian mining company tanzania ww huna ulijualo ndugu 🤣🤣🤣

Nakukumbusha tu kua kuna gas pipeline itajengwa kutoka dar kuja mombasa na mpokeaji mkuu atakua taifa gas hilo nakukumbusha tu 🤣

Na kinachowauma nyinyi kuskia ndio tajiri wa kitanzania kuwekeza pesa nyingi sana kenya toka mumepata uhuru 🤣🤣🤣🤣 na kila siku mukiambiwa tanzania ina millionares kuliko east africa combined munakasirika na kutuletea cooked GDP
 
Jamaa hawataki kuamini wanachokiona. Kweli mfa maji haishi kutapatapa. Na ingeli kuwa Rostam si mbongo kelele zake humu jukwaani pasingelitosha aise.
 
Back
Top Bottom