Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna maumivu unayahisi mahala 🤪🤪🤪🤪

FE3E48E8-B879-4C4E-A98A-F33E72A3B9B0.jpeg
FDB3FF85-6061-4DE9-80DC-85501EFB98B1.jpeg

Ndugu zangu mkivuliwa nguo mnachutama……..nimecheka kifala sana hizi comments 😂😂😂😂
 
Hapana mkuu.. hapo uraini kbsa.. makambi yako mbali.. hapo wanapaita kibondo sokoni (au Soko la Wakulima, Kibondo)
Huo mradi upo chini ya 'host communities development programs' unaolenga kutoa huduma muhimu kwenye maeneo yote yenye missions za UNHCR karibu, Kibondo zipo missions za UNHCR ndio maana wameweka hiyo miradi, pia Kasulu vilevile lakini sio kama ndio mradi rasmi wa wilaya
 
Sourcing dollars do you think they are getting them for free ebu fikiria out of the box kwanza
The reason why you are sourcing dollars is because your economy is collapsing, a country which depends on imports for all primary needs


Tanzania exports more than it imports, contrary to Kunyaland, what do you expect?
 
Kwahiyo Rostam Aziz amekimbia Tanzania?. Kwa taarifa yako, Rostam anewekeza kiasi Cha $800M Tanzania, Sasa huko Kenya ndio kwanza anataka kuwekeza $200M, tayari mnaanza kupiga kelele.
Hakuna mkoa ambao Hauna depot ya Taifa gas Tanzania.Ukifika Njombe wasambazaji wanapambana sana kuifikisha kwa wateja walipo hukohuko.
 
Back
Top Bottom