The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Kenya ni nchi dhaifu sn yn mtu kutoka kataifa kadogo anaitukana nchi yenu na jeshi lenu alafu hawa wadhaifu wamekaa kmy.Huyu mshenzi anawakimbiza balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2533170
Mim sijui chochote kuhusu hayo mambo. Ila hoja yako kuhusu server au ofis, nina ombi moja tu, naomba nionyeshe ofisi za MeaSat, Ses na ViaSat zilipo hapa bongo.. nina shida nao sana, nataka kuwafata ofisin kwaoSheria za nchi, servers zako lazima ziwe hapa! Kama starlink hana mpango wa kuweka servers hapa asahau!
Watu ambao wako kwenye tech au fintech wanaelewa hapa!
Hizo zote umetaja bali na kua na offisi za kuserve region wakona innovation labs, nyinyi munaambia Starlink wawafunglie offisi za customer care incase internet iko chini mupeleke malalamishi huko. 🤣 🤣 🤣 Mkona ufala sana.Ni juzi tu mlikua mnashangilia Google, Facebook, Nala ambazo zote ni digital zimefungua physical offices kunyaland
Hii mim niko upande wenu wakenya 😆😆😄 huyo waziri amezingua sana hapo. Starlink wenyew wanasema customer service kwao ni tatizo kubwa sana, then eti unawaconvice wafungue ofis. For what for?Hizo zote umetaja bali na kua na offisi za kuserve region wakona innovation labs, nyinyi munaambia Starlink wawafunglie offisi za customer care incase internet iko chini mupeleke malalamishi huko. 🤣 🤣 🤣 Mkona ufala sana.
Eti Starlink wenyewe, hio hata sio website ya starlink. 🤣 🤣 🤣 Usiogope kufikiria we mzee.Hii mim niko upande wenu wakenya 😆😆😄 huyo waziri amezingua sana hapo. Starlink wenyew wanasema customer service kwao ni tatizo kubwa sana, then eti unawaconvice wafungue ofis. For what for?
View attachment 2533194
Kaka, bado unaamini katika hizi "chanjo" za mrna?Tanzania is very unique country, we are smarter than many countries in Africa, we showed the way during COVID-19 pandemic by not closing our country while the whole world was closed down, ultimately the world understood what we were doing and joined us. Tanzania is the brain of Africa.
😆😄mim sijui hayo mambo.. naelewa tu kutumia internet kutoka internet providers waliopo bongo.. hoja yangu ni wazir kutaka ofis zao ziwepo, kitu kisicho cha msingiEti Starlink wenyewe, hio hata sio website ya starlink. 🤣 🤣 🤣 Usiogope kufikiria we mzee.
Website ya Starlink ndio hii hapa, wacha kuamini kila kitu unasoma kwa internet, sometimes kua critical thinker.
Ooohhh nimekuelewa 😂 😂 Huyo waziri wenu ni msumbufu tu lakini mwishowe hio license atapeana tu bila hizo vikwazo vyake.😆😄mim sijui hayo mambo.. naelewa tu kutumia internet kutoka internet providers waliopo bongo.. hoja yangu ni wazir kutaka ofis zao ziwepo, kitu kisicho cha msingi
Bro hujui nchi ilivyo ngumu hii. Kama hivyo vigezo hana basi hapati leseni. Na akipata ujue sheria zimevunjwa.Ooohhh nimekuelewa [emoji23] [emoji23] Huyo waziri wenu ni msumbufu tu lakini mwishowe hio license atapeana tu bila hizo vikwazo vyake.
Unataka jenga nyumbaGharama ndio kigezo. Kuna ubaya gani serikali kulipa hio hela ili pesa zibaki nchini? BTW hela za kodi ni bora tu zingerudi kwenye mzunguko wetu wenyewe hata kama bei iko juu kidogo.
Hiyo reli naona inajengwa from Tz to Rwanda then Uganda ili kila mmoja afaidike. Au from uvinza mpaka Gitenga in Burundi then Rwanda and UgandaNi kweli hapo juu niliongelea reli ya Mwanza kupitia Ziwa Victoria to Uganda.
Sheria za Tanzania ili kupata leseni ya biashara lazima kampuni isajiliwe Tz na iwe na physical address.Wao ndio huchagua kuweka hizo offices Kenya hua hatuwalazimishi kama nyinyi, mko desperate sana. Don't forget most of the offices in Kenya are regional offices, serving the whole continent or regions.
Haya mabasi Nairobi!!! Mungu awasaidieNairobi wanakinukisha
Nairobi wanakinukisha
Dunia sahii iko digital, watu wanawork remotely bado mnataka mtu aweke offisi kwa ground. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wabongo wacheni ushamba.
Aibu hii jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] chakula cha msaada kimeibiwa kaah[emoji119][emoji119] na walioiba ni politician wanawauzia tena wafanyabiashara wawauzie tena wakenya wanaonuka njaa na shida