Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww unaniletea majina hata hayaeleweki au unafkiri mm kenya siijui au??[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] umesahau kama mm nawajua mpaka chupi zenu ??
Haujui otherwise ungejua role ya kenya dairy board wewe chupi[emoji1787][emoji1787]
 
Milk products kenya huwezani nazo ichogal huku si tanga fresh, hujawaii skia Daima, delamere, ilara, bio foods, jolly fresh, dairyland, lyons maid,cream bell,tuzo, fresha,kinangop dairy,eldoville, laki laki [emoji706] hujui kitu ni wivu na mdomo umejaza kam mswahili tu
 

Kaka huyo jamaa kwao ni mtwara na anaishi huko huko porini hajui chochote kinachoendelea yupo yupo tu .. huyo ni shamba boi

Atatueleza nini sisi watoto wa mjini wenye exposure ya majiji yote makuu hapa Tz pamoja na huko porini kwao.?

I think ni bora tumtemege tu

Inawezekana hajui kama daladala vile (vipanya) haviruhusiwi kufika mjini
Au
Butcheries zote mjini zote zinakata nyama kwa mashine
 
Hivi asiyekuwa na kisimbusi na asiye na chakula nani maskini zaidi hapo embu nisaidieni uelewa kidogo.
 
Kampuni nyingi ni ndogo ndogo tuu,kubwa ni kama Dar fresh,Azam diary ,Asas diary ila Kuna utitiri wa vikampuni..

Supermarkets nyingi za zimejaa maziwa ya kampuni za Wakunya Kwa sababu za kwetu hazina uwezo wa ku feed soko letu.
🤣🤣🤣🤣 We jamaa kidogo nikutukane tusi kubwa bahati yako humu kuna sheria.. unaijua Tanga fresh wewe.?
 
Nahisi masuala ya biashara ww ni zero kabisa ww unataka kampuni kubwa kiasi gani
Kampuni nyingi ni ndogo ndogo tuu,kubwa ni kama Dar fresh,Azam diary ,Asas diary ila Kuna utitiri wa vikampuni..

Supermarkets nyingi za zimejaa maziwa ya kampuni za Wakunya Kwa sababu za kwetu hazina uwezo wa ku feed soko letu.
 
Mm nipo Tanga nafanya shughuli zangu za kiuchumi huku asilimia kubwa watu wanatumia maziwa ya Tanga fresh japo yapo na ya asasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…