Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu basi.Imeandikwa, ikiwa nyinyi kwa nyinyi mnagombana basi mtamalizana. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Amesema the entire Hass energy outlets were bought by Tanzanian Lake oil company.

Kwa kifupi alot of investment in energy sector is coming from Tanzania.
Kwani kusoma Hass and Hashi ni ngumu aje?
 
Jamaa mjanja katumia lugha rahisi ili afanye biashara pasipo na usumbufu, ameipamba Kenya ili apate soko.
He knew diaspora wa Bongo kwa uzalendo wao watatumia, lakini anawapataje hawa wapenda sifa? Ngoja awapelekee kwao na lugha tamu wampe hela……na wameingia king wanajisifu😅😅 jinga sana hizi jamaa😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…