joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Ninakuhakikishia, 80% ya maneno yake hayatatekelezwa. Viongozi wengi wa Kenya na 90% ya raia wa Kenya hawaamini kwenye ushirikiano wenye kufaidisha pande zote zenye kushirikiana. Uchoyo, uchu, ubinafsi wa wakenya umepitiliza mipaka.[emoji116]
This college with primary school infrastructure. 🤣🤣🤣🤣 Kuweni serious.Hapo kenya hakuna kitu.
Pitia hii website kwanza hiki chuo kinakusana takataka zote za East Africa.
The College of African Wildlife Management (CAWM), Mweka is the leading institution in professional and technical training in Wildlife and Tourism Management. It was established by the Tanzania Act of Parliament Number 8 of 1964. The College is registered and recognized as a Centre of Excellence by the East African Community (EAC) and Southen African Development Community (SADC).
Nairobi haina uswazi uliotapakaa kila mahali kama darHizi picha za Nairobi naona mpigaji alikaa angle Kali kujaribu asioneshe Kibera na uswazi zingine [emoji16][emoji16]View attachment 2529265View attachment 2529266View attachment 2529267
Mbona kijana malalamko mengi sana.This college with primary school infrastructure. 🤣🤣🤣🤣 Kuweni serious.
Umekosa University kumi ukaamua kuleta hadi college zinafanana na primary schools. 🤣 🤣 🤣 🤣Mbona kijana malalamko mengi sana.
Ninauhakika kwa sasa utaanza kuheshimu. Mama Ngina anawazingua sana.
Ndugu zako wa kikenya ndipo wanachukua bachelor zao za Tourism hapo in case you don't knowThis college with primary school infrastructure. 🤣🤣🤣🤣 Kuweni serious.
Kijana hapa utakimbia nataka kukufundisha adabuUmekosa University kumi ukaamua kuleta hadi college zinafanana na primary schools. 🤣 🤣 🤣 🤣
At that primary school, sorry for them walai. 🤣🤣🤣🤣 Hao ni kama walitapeliwa.Ndugu zako wa kikenya ndipo wanachukua bachelor zao za Tourism hapo in case you don't know
Titakuja tu kwani shida iko wapi!?A center for excellence in Tourism and Hospitality. Students watatoka almost all over Africa kuja kusomea hapa, haswa hawa bongolalas.
Wewe ni pimbi! Majority ya hoteli hapo Kenya tu sio wakenya. Sembuse nchi nyingine! Nyie ni mameneja kwenye gesti zenu Tu uchwara. Sijawahi kuona hoteli ya maana hapo Kenya ikiwa na bosi wa kikenya.Ukitembea nchi nyingi za Afrika unapata managers wa hoteli Kubwa ni Wakenya.
Yani kiwanda cha kitengeneza ma waiter wa waarabu.Utalii college Hamna kitu!
Hiki ndicho tunachofanya Iringa. 1kg ranges between 2000-3000Tsh if you have quality products. Hawa wehu walikuwa wanachukua na kupeleka kwao na kujidai wanazalisha.Value for your money Avocado farming is taking a huge boost in Tanzania 1 tree produces a minimum of 300kg’s under good supervision… An acre of 7mx7m takes up to 100 trees 300kgx100 = 30,000kg’s 1 kg is sold at an average of 1300/= 30,000kg’s x 1,300/ = 39M