Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mbona naja Tanzania December? nikishindwa na lugha nitakutafta ndugu...lazima nikule mabinti wa Bongo...watamu sana...nimetaka sana pia Ethiopia ila language barrier
Yaani wewe andaa mshiko tu. Watoto jojo wapo kulingana wewe na level yako.
 
la hasha, skuizi kuna mboga, nyanya, vitungu, keki, nyama ya kuku, beef, matunda na kadhalika kwenye supermarket na sio lazima unde supermarket kununua junk food pekee yake...Pili bei za suprmarket kama Naivas ziko friendly sana kwa mwananchi wa kawaida ama mwananchi wa low-income hata kuliko maduka madogo madogo...
despite the fact that food products in supermarket are well packed,i prefer buying my food in local markets(none supermarket).
68ca425e95cbbf17ca696db67d1b0270.jpg
cae6537d2b6630e0570d227cf573c342.jpg
344e9a7a2797e203af747dc75f52a3dd.jpg
367b7a026e69c3b5961b61aa011a45bf.jpg
 
here is the south Sudanese immigrant who shot students in Lokichogio, minutes before he was stoned and burnt to death...CRIME DOESN'T PAY

View attachment 610459View attachment 610459
Residents of Kakuma refugee camp lynch a suspect accused of murdering five students and a night guard

Halafu kuna pimbi wa 254 alikuja hapa kulalama eti tulikosa majina hadi barabara ikaitwa bibi titi, sasa na nyie mtueleze na hiyo kakuma yenu, punguan wahed
 
heri warudi nyumbani tu. wabongolala wamezoea kununua bidhaa vichochoroni na chini ya miti.
nakumat tena huko Uganda...au na
waganda hawajazoea kununua bidhaa supermarket?.

Ninachokionaa leo ni muendelezo tu, niko Uganda nako huku Nakumatt wamefungiwa na URA branch tatu kwa kutolipa kodi na kutowalipa waliokuwa wakipeleka bidhaa.

Baada ya kutonywa hali halisi wahusika waliwahi mahakamani kuzuia mali za Nakumatt kutoka mpaka walipe fedha zao bil 17.

Hata hivyo pesa ni pesa, walinzi walirubuniwa wakiwemo polisi waliokuwa na silaha na kuruhsu magari nane kutoka yakiwa na bidhaa kurudi Kenya

Hatimae malori hayo yalikmatwa mapema usiku na kurudishwa yard. Baadae mahakama imeamuru malori hayo kuuzwa na mnada utafanyika Jumamosi ili kulipia madeni ya wahusika na kodi ya Serikali.
 
Halafu kuna pimbi wa 254 alikuja hapa kulalama eti tulikosa majina hadi barabara ikaitwa bibi titi, sasa na nyie mtueleze na hiyo kakuma yenu, punguan wahed
pumbavuuuuu...huna akili...watu wanajadili mambo muhimu kwa ustaarabu nawewe unaongelea mambo ya majina...
 
despite the fact that food products in supermarket are well packed,i prefer buying my food in local markets(none supermarket).
68ca425e95cbbf17ca696db67d1b0270.jpg
cae6537d2b6630e0570d227cf573c342.jpg
344e9a7a2797e203af747dc75f52a3dd.jpg
367b7a026e69c3b5961b61aa011a45bf.jpg
U nailed it bro, kwa upande wa food products tu tumebarikiwa, thanks to Almighty.
Sijawah nunua food broducts supermarket na sitegemei, kwanza sio fresh vina kaa sana kwenye shelves, pili vingine ni imported so unakuta ladha yake sio nzur kivile. Supermarkets nanunua vitu vingne tu.
 
mbongolala heri ale miogo mibichi kama nyani atulie.
 
Back
Top Bottom