Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

pumbavuu umeona nime quote nani hapo?
Povu kali sana hilo, linatumika kufulia nguo za Zombies of Nairobi.

zombies.jpg


Zombies of Nairobi: The Harrowing Documentary of Nairobi's Glue-Sniffing Street Children you Need to Watch
 
I can see your web browser determines your behaviour and personality.
Hizo bookmarks na website ulizofungua zinaonesha wewe ni mtu wa namna gani.
Asante kwa kukujua zaidi.
dont be bitchy dude. talk sense
 
heri warudi nyumbani tu. wabongolala wamezoea kununua bidhaa vichochoroni na chini ya miti.
hapana msee usipoteshe ukweli.

kulipa kodi kwa wafanyabiashara wote including watz na wasio watz ndani ya tanzania ni moja kati ya sera inayosimamiwa kwa umakini sana na JPM.

magufuli amekuwa mkali sana kwa wafanyabiashara wakwepa kodi...hana masihara kabisa na suala hilo.

kuna visa kadhaa vya baadhi ya asset za wafanyabiashara kupigwa mnada kwa makosa ya kutolipa kodi.

kama nakumatt wameshindwa kutumiza sharti hilo,hiyo ni juu yao na TRA(tanzania revenue authority).kufunga kwao biashara nchini hakutokani na watz kutonunua bidhaa kwenye supermarket.huo ni uongo.
 
hahahaha eti watz hununua bidhaa chini ya miti...lakini ukweli...hawa jamaa heri mtu aende pale kariakoo kuliko aingie supermarket...
 
Back
Top Bottom