Panya road wamewahi kumuua ocd au ocss wa kituo cha Polisi hapa Tanzania?Kama panya road tu
Bilion 9 that was 2008 about 15 years ago. Now prices have gone up.Kivuko kilinunuliwa Bil 9.. kinakarabatiwa Bil 7
Moja ya hospital Safi Tz ni hii, ward zake safi sana[emoji91][emoji91][emoji122][emoji122][emoji116]
Wanaogopa ushindani kaka sidhani kama wataliruhusu hili litokee.Ni lini sheria za Tanzania zlibadilishwa kuruhusu shirika lingine zaidi ya Tanesco kusambaza umeme nchini?
Huo ushindani ndio hawataki kuusikia kabisaa!Wazalishaji wawe wengi, Tanesco abaki na transmission halafu distributors wawe wengi walete ushindani.
Maajabu ya dunia haya. Unajua maana ya double decker kweli?kenya still has the only double decker sgr train in africa
Ushindani unakuwa kwenye distribution tuu huku kwingine kwenye critical infrastructure waachiwe Tanesco. Ushindani ukiwepo gharama za kwh zitakuwa nafuu kidogo na pia kutakuwa hakuna gharama ya moja kwa moja kumuunganishia mtu umeme hao competitors wata foot the bill na kukukata kidogo kidogo hivyo kufanya uptake ya umeme iongezeke kwa kasi.Huo ushindani ndio hawataki kuusikia kabisaa!
[emoji1][emoji1][emoji1] vizuri sana kijana CHUGA kwenye ubora wake
Only double stacked SGR in Africa iko Kenya. Dangagiza mnacheza ligi ta east Africa badoAnd we have the only electric train in East Africa
Yaani iwe kama vile REA wanavyofanya lakini ziwe ni Kampuni zinazojitegemea na kujisimamia?Ushindani unakuwa kwenye distribution tuu huku kwingine kwenye critical infrastructure waachiwe Tanesco. Ushindani ukiwepo gharama za kwh zitakuwa nafuu kidogo na pia kutakuwa hakuna gharama ya moja kwa moja kumuunganishia mtu umeme hao competitors wata foot the bill na kukukata kidogo kidogo hivyo kufanya uptake ya umeme iongezeke kwa kasi.
Unatia huruma.Only double stacked SGR in Africa iko Kenya. Dangagiza mnacheza ligi ta east Africa bado
Hakuna kupata kazi kampuni ya sukuma gang matapeli,hao ndio walitufikisha huku [emoji116]View attachment 2520172View attachment 2520173
mbwa kama ww una ushahidi na unachokisema nyau wa mayai au nkupe exampleOnly double stacked SGR in Africa iko Kenya. Dangagiza mnacheza ligi ta east Africa bado
Only double stacked SGR in Africa iko Kenya. Dangagiza mnacheza ligi ta east Africa bado
tupe ushahidi au unaongea kama dem hhhaaaaaOnly double stacked SGR in Africa iko Kenya. Dangagiza mnacheza ligi ta east Africa bado
Huyu ndio alitakiwa awe raisi wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaHuyu jamaa atafanya makubwa sana Zanzibar .