President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,666
- 94,316
Nadhani kigereza kinakupiga chenga mwanangu.Nimesema 1800s = 1800 - 1809
Mwenzako amesema 1800s = 18th century (something I'm sure hata wewe ulikuwa unajua hivo). Kati yetu wawili nani ako wrong?
Ako sahihi kusema 1800s = 18th century? Mbona unakaa mwehu mwehu hivi? 🤣 🤣Wote mko sahihi.
1800s can be 1800-1809(decade) au 1800-1899(century) 19th century
Wewe ndio mwehu. Ni sahihi kuwa 1825 ni 1800s ambayo ndio argument ilianzia.Ako sahihi kusema 1800s = 18th century? Mbona unakaa mwehu mwehu hivi? 🤣 🤣
Ako sahihi kusema 1800s = 18th century? Mbona unakaa mwehu mwehu hivi? 🤣 🤣
Mwehu ni wewe ambae huoni kama nimeandika 1800-1900(century) 19th centuryWote mko sahihi.
1800s can be 1800-1809(decade) au 1800-1899(century) 19th century
Ukiamua kuwafuatilia lugha ni weupe kabisa ila ujuaji mwingi.Nadhani kigereza kinakupiga chenga mwanangu.
1800s ni mpaka 1899
Unachanganya madesa mtoto wangu.Ako sahihi kusema 1800s = 18th century? Mbona unakaa mwehu mwehu hivi? 🤣 🤣
Unachanganya madesa mtoto wangu.Nimesema 1800s = 1800 - 1809
Mwenzako amesema 1800s = 18th century (something I'm sure hata wewe ulikuwa unajua hivo). Kati yetu wawili nani ako wrong?
Hilo halina uhusiano wote na maendeleo/ ahadi za serikali, kwahiyo linaweza kuvumilika.
1)Laptop per child
2) Five modern stadia
3)Mradi wa Galana Kulalu
4)Trains za kisasa
5)Five water dams
6)Green field terminal
7)SGR to Malabar
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nawapa somo jinsi haya mambo yanavyohesabiwa leo. Naona bado mlikuwa nyuma sana. Wengi wenu mlidhani 18th century ni miaka ya 1800 - 1899, naona mmebadilisha fikra. Hilo swali unalouliza nilishaalijibu.Unachanganya madesa mtoto wangu.
Kuna
1800s hii inaisha lini?
1810s hii inaisha lini?
1820s Hii inaisha lini?
1830s Hii inaisha lini?
Mwanagu ukirudi shuleni siyo dhambi.
Wacha ujinga, umeshindwa kwenye 1800s, unajaribu kupoteza lengo. Wewe ulikataa 1800s haifiki 1825, kwamba ulisema inaishia 1809, baada ya kukuthibitishia, Sasa unageuza kibao, huna akili wewe.Hivi hukusema 1800s = 18th Century? Mbona hupendi kukubali hujui kitu?
Wacha ujinga wewe, Nimesema 18 Century, tofautisha kati ya 18th Century na 18 Century, hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa.Nimesema 1800s = 1800 - 1809
Mwenzako amesema 1800s = 18th century (something I'm sure hata wewe ulikuwa unajua hivo). Kati yetu wawili nani ako wrong?
Yaani mkenya ampe somo Mtanzania. Hii itakuwa mpya hapa duniani. Somo gani unaweza kutupatia wewe mtoto wa mama ngina!!!Nawapa somo jinsi haya mambo yanavyohesabiwa leo. Naona bado mlikuwa nyuma sana. Wengi wenu mlidhani 18th century ni miaka ya 1800 - 1899, naona mmebadilisha fikra. Hilo swali unalouliza nilishaalijibu.
1800s = 1800 - 1809
1810s - 1810 - 1819
1820s = 1820 - 1829 and so on.
Nadhani umeelimika wee mkosa elimu.
Mwanzo kubali kwamba hujui. Ukifunzwa kubali. Eti 1800s ni 18th century kisa inaanza na 18. 🤣 🤣 🤣Wacha ujinga, umeshindwa kwenye 1800s, unajaribu kupoteza lengo. Wewe ulikataa 1800s haifiki 1825, kwamba ulisema inaishia 1809, baada ya kukuthibitishia, Sasa unageuza kibao, huna akili wewe.
You're trying too hard to sound like an intellect but end up making a fool of yourself with your cringy name-dropping. 🚮 🚮Yaani mkenya ampe somo Mtanzania. Hii itakuwa mpya hapa duniani. Somo gani unaweza kutupatia wewe mtoto wa mama ngina!!!
Mwanangu unajiongelesha wewe tu. Bure kabisa
Lazima ujue kutofautisha
1. decade
2. century
3. era
Tunapoongelea matukio let say 1800s tunaongelea era mwanangu.
Haya ni matukio yote yaliyofanyika kuanzia mwaka 1800 hadi 1899.
Mf:
1. The victorian era
2. Age of Reform
Kuna Early 1800s ndiyo unayoiongelea wewe mtoto wangu.
na kuna the late 1880s usually means somewhere around 1887-1889
Niendelee kukupatia somo?
Huyo hayuko sahihi, yeye alikua hajui kwamba 1800s maana yake inakwenda Hadi 1899, yaani inamaliza 18Century. Yeye alidhani kwamba hiyo "s" inawakilisha mafungu ya kumi.Wote mko sahihi.
1800s can be 1800-1809(decade) au 1800-1899(century) 19th century
Naendelea kukupatia somo mdogo wanguNawapa somo jinsi haya mambo yanavyohesabiwa leo. Naona bado mlikuwa nyuma sana. Wengi wenu mlidhani 18th century ni miaka ya 1800 - 1899, naona mmebadilisha fikra. Hilo swali unalouliza nilishaalijibu.
1800s = 1800 - 1809
1810s - 1810 - 1819
1820s = 1820 - 1829 and so on.
Nadhani umeelimika wee mkosa elimu.
🤣 🤣 🤣You're trying too hard to sound like an intellect but end up making a fool of yourself with your cringy name-dropping. 🚮 🚮
Vipi tena mdogo wangu umeshindwa kujadili au njaa inakusumbua?You're trying too hard to sound like an intellect but end up making a fool of yourself with your cringy name-dropping. 🚮 🚮
Wewe sasa nawe unasema nini? 😂😂Naendelea kukupatia somo mdogo wangu
List of 1800's Major USA History Events
- America Purchase of Louisiana (1804)
- Texas Joins The Union (1845)
- American Civil War (1861-1865)
- The Indian Wars (ran for over 200 years ending in 1890)
- Statehood, the creation of most of the States that exist today (28 States Created)
- American Old West Settled
- The Indian Wars (ran for over 200 years ending in 1890)
Onyesha wapi Nimesema 1800s = 18th Century?.Ako sahihi kusema 1800s = 18th century? Mbona unakaa mwehu mwehu hivi? [emoji1787] [emoji1787]