Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama render wanangu.. in the voice of The best 007

Nasikia kuna mtu kasema tumefanya repair [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

View attachment 2514820
Kitu kimeanza from scratch, afu mtu anasema tumefanya repair
View attachment 2514822
Aisee nimesoma comments kwakweli kuna umuhimu wa hawa viongozi wetu kuacha legacy ambayo itadumu milele, hii meli kwakweli ni ile ile aliyoihaidi Magufuli na ambayo alizindua ujenzi wake, leo hii imewekwa majini wakati yeye akiwa ameshalala milele, for sure Magufuli was the real deal.
 
Construction on steroids in Pangani.

Image
I wonder how Nairobi will be in the next few years!!!
Watch out,
EASTLEIGH
PARKLANDS
SOUTH C/B
KILIMANI
WESTLANDS
 
Sunk farasi imekula ban jamaa akarudi kwenye account yake ya zamani, akila ban kwenye hii tegemea kuona opportunitycost ikiwa hewani,,,,,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
The biggest ship in the region [emoji736]

The biggest hydro power plant in EA[emoji736]

The longest electrified SGR in Africa [emoji736]

The longest BRT system in Africa [emoji736]

The biggest modern airport in EA [emoji736]

The biggest and modern hospital in EA [emoji736]

The biggest football stadium in EA [emoji736]

The biggest market in EA [emoji736]

The biggest bus terminal in EA [emoji736]

The biggest water park in EA [emoji736]

Number is endless [emoji1241][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Wallahi Tz sio Kenya, sisi tunaonesha miradi ya kumkomboa mwananchi kiuchumi wao wanaonesha maghorofa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom