Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa lipi sasa? Mnapenda kujitekenya mkicheka wenyewe.
 
Tafuta picha ikionesha hicho kipande kimebomolewa mm nifunge acc jamii forum 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hvi ww unaona himu watu wote wakuja au ??? Unataka kutuaminisha kua kibera slum sio slum number moja duniani au unataka kutuaminisha kutuma picha za render hzo

Kwa lugha fupi ni kibera ni worse slum on planetbyani hakuna slum ya kinyama kama kibera kwasababu maisha ya nguruwe yana nafuu kukiko wakaz wa kibera

Mm nimezunguka tanzanai hii sijawah kukutana na makazi binaadamu na wanyama wanaishi hvi
 
Hvi ww hushangai watu maarufu wanatoka america wanakuja kenya kushangaa kibera pekee 🤣🤣🤣 yani mtu maarufu mwenye pesa zake za kutosha anajipa muda kuja kushangaa binaadamu wenye makazi zaidi ya nguruwe na hapo wanakuja kusoma na kuandika vitabu vile binaadamu wa kibera wanavo survive manake hata nguruwe hapi ukimueka lazma afe tu

 
Hii ndio maana ya slum sasa 😆😆😆
 
The fact mnajaribu kulinganisha nairobi na
Sandton na si dar na sandton inaonesha vile mji wenu ni ovyo
 









Hivi ile ferry ya ukunyani iliyokuwa inaundwa Kisumu, iligotea wapi? Au KDF walishindwa ile kazi pia?
Huku ikitoka Mv Mwanza hapo chelezoni, meli nyingine inaanza kujengwa!
Munafanyia meli repair alafu munataka kujilinganisha na KDF ambao wanatengeneza meli mpya from scratch, Made in Kenya. We mzee huna hata aibu, sisi hatupigipigi machuma na kupaka rangi kama nyinyi. 🤣 🤣 🤣 🤣








 
Hivi kumbe huo mtumbwi haujaisha tuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aki, mm kitu chochote kile kikitengenezwa na Wakenya situmii, kama ni nyumba sikai hata karibu ya jengo, kama ni baiskeli sipandi isije niua bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unadhani meli ni baiskeli intengenezwa na siku moja. 🤣 🤣 🤣 🤣 Hii ndio reasoning ya wabongo ambao hata baiskeli hamwezi tengeneza.
 
Tea Brands by Empire Kenya EPZ Ltd, the company that shipped branded tea to Australia. The Company specializes in three brands, Akina-With Love from Africa, Thurson Teas and various Specialty Teas. It is situated at Jomvu, Mombasa







Wow the branding is top notch. ❤️‍🔥 Proudly made in Kenya. Tunapatia wabongo mwezi moja waanze kulia eti tunapackage majani yao.🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…