Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,495
- 1,803
Sio Kweli NK inazidiwa GDP na Kenya.PPP Purchasing Power Parity. Nchi zote za Kijamaa au zenye tatizo na nchi za magharibi zimekuwa zikionyweshwa kuwa ni maskini sana. Mfano: Uingereza ina madeni kuliko ukubwa wa uchumi yake. na Russia ina uchumi unao produce surpluses, wenye hard-earned daily returns of 2.45 billion exports, wakati waingereza wanachapisha pesa kuendesha uchumi wao. Nani tajiri hapo.?Ile siku niligundua NK inazidiwa GDP na Kenya ndiyo siku niliachana rasmi na ushuzi wa GDP.
Hizo data zinaandaliwa na WB na washirika wake maadui wa NKSio Kweli NK inazidiwa GDP na Kenya.PPP Purchasing Power Parity. Nchi zote za Kijamaa au zenye tatizo na nchi za magharibi zimekuwa zikionyweshwa kuwa ni maskini sana. Mfano: Uingereza ina madeni kuliko ukubwa wa uchumi yake. na Russia ina uchumi unao produce surpluses, wenye hard-earned daily returns of 2.45 billion exports, wakati waingereza wanachapisha pesa kuendesha uchumi wao. Nani tajiri hapo.?
Uingereza ikifilisika hakuna anaesumbuka duniani, na imekwisha kufisika mara nyingi tuu na dunia inasonga. wakati Russia ikisinzia dunia inaingia kwenye inflationary state wewe unaelewa nini?
Range Rover SV Autobiography 2023 kama sijakoseaView attachment 2511700
Another One
Huyo Chokoraa ni mjinga wa mwisho. It's good umempa za usoNairobi huijui lakini unapiga kelele hapa kama kasuku. Sisi ndio tunaishi Nairobi wewe zoea kugoogle tu. Eti Baringo road 🤣🤣🤣🤣
FYI hio AMG GT 63 ndio hii hapa ikitoka Kwa hio showroom.
Hapo ni Kibera bongolala. Wacha kubisha wakati sisi ni wenyeji wa Nairobi wakati wewe unapiga kelele ukiwa Gongo la mboto. Hiyo ni part of Kibera slum upgrading program iliyoanzishwa wakati wa Kibaki. Usiwe mtu wa kupinga kila kitu hata yale huelewiSo, huoni line apo inayotenganisha Kibera kwenye mabanda ya majolity na huko kwenye makazi ya wachache [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dar-kuna-slum katikati ya cbd [emoji23][emoji23]na imeandikwa hapo vizuri sana Kariakoo ni slum na picha imebandikwa. Nairobi slums hazikaribii cbd ata kidogo. Lakini naelewa watanzania hawajui kusoma wala kuelewa kingereza na umedhibitisha hiloHebu niambie slum ipi umeiona hapo ambayo Google wameisahau.
Kama watu sampuli yako ndio wasomi Tanzania then I give up on you guys. Umeshinda msomi wa Tanganyika! 😂😂We jamaa unajua hata maana ya frequency? Utapataje frequency kama gari halipo. Bure kabisa. Issue Maths, Science and Technology tuachieni sisi. Nyie vijana wadogo wadogo hebu ongeleeni issues za wasanii na history.
Hapo ni Kibera bongolala. It's part of the Kibera slum upgrading program that was started by the Kibaki administration. Hilo eneo lote ambako hayo maghorofa yamesimama ilikuwa na nyumba za mabandaHebu tizama hzo gorofa zilivojitenga na slums yani hata akili ya kuona hilo huna🤣🤣🤣🤣🤣
Izo nyumba most of em zimeshauzwa na pamejengwa maghorofa, zamani kidogo kariakoo ilikua na nyumba nyingi tu za miti ,na pale jangwani nyumba zilivunjwa nyingi sana,zilizobaki zinanunuliwa na kuvunjwa zote kuna mradi wa bonde la mto msimbazi utaanza soonDar-kuna-slum katikati ya cbd [emoji23][emoji23]na imeandikwa hapo vizuri sana Kariakoo ni slum na picha imebandikwa. Nairobi slums hazikaribii cbd ata kidogo. Lakini naelewa watanzania hawajui kusoma wala kuelewa kingereza na umedhibitisha hilo
View attachment 2512730
Asante kwa kukubali kwamba kariakoo ni cbd nyingine [emoji120]Dar-kuna-slum katikati ya cbd [emoji23][emoji23]na imeandikwa hapo vizuri sana Kariakoo ni slum na picha imebandikwa. Nairobi slums hazikaribii cbd ata kidogo. Lakini naelewa watanzania hawajui kusoma wala kuelewa kingereza na umedhibitisha hilo
View attachment 2512730
Slums zimetapakaa Kenya nzima, ni ngumu kutofautisha Kenya na slums, taja eneo lolote Kenya nitakuonesha Slums.Hapo ni Kibera bongolala. It's part of the Kibera slum upgrading program that was started by the Kibaki administration. Hilo eneo lote ambako hayo maghorofa yamesimama ilikuwa na nyumba za mabanda
Wewe tena ndio mbumbumbu wa kwanza kabisa. Hebu tuambie ujuzi wako ni nini tuweze kukuuliza maswali mawili matatu.Kama watu sampuli yako ndio wasomi Tanzania then I give up on you guys. Umeshinda msomi wa Tanganyika! 😂😂
Kubadilisha gear hewani hamjamboSlums zimetapakaa Kenya nzima, ni ngumu kutofautisha Kenya na slums, taja eneo lolote Kenya nitakuonesha Slums.
Ndio maana nikakwambia hakuna kitu wasionacho north korea ww fikiria tu kua wanavikwazo vya dunia nzima lakini bado wanadunda tu chukua hio point iwe muhimu kwanza kwako 🤣🤣🤣🤣Propaganda na uhalisia fulani pia
Kama wanavyoonyesha bad sides za africa haimaanishi hakuna sehemu nzuri afrika lakini pia izo bad sides zipo na zinaongezeka in light speed
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Nimekwambia tazama picha kwa umakini na utagundua kua kuna sehem wanaishi binaadamu na kuna sehem wanaishi watu kwenye maisha ya nguruweHapo ni Kibera bongolala. It's part of the Kibera slum upgrading program that was started by the Kibaki administration. Hilo eneo lote ambako hayo maghorofa yamesimama ilikuwa na nyumba za mabanda
So middle class wanaishi wapi 🤣🤣🤣 unahangaika na dar lakini wapiThe poor of the poorest in Dar ndio wanaitwa middle-class. Kwani huna habari?
Sasa si bora nyumba inakua ya block na bati juu kuliko binaadamu anaishi kwenye nyumba ya tope 🤣🤣🤣🤣🤣 tena mjini kabisaYou wish you had such Haleakala than the uswazi hovels with rotten iron sheets that cover your entire city
Sasa mbona unapingana nami wakati mimi naishi Nairobi na wewe upo Tandale? Must you bring unnecessary arguments in everything? Hilo eneo lote lenye maghorofa ilikuwa na nyumba za mabanda. Si lazima ukubali coz it won't change anything. Utabaki tu kuwa mtanzania mjinga hata ukubaliNimekwambia tazama picha kwa umakini na utagundua kua kuna sehem wanaishi binaadamu na kuna sehem wanaishi watu kwenye maisha ya nguruwe View attachment 2512803