Gari zilizokua registered ni 10k na trips za magari zilizofanya kwa miez 7 ni 10m na makusanyo yote yaliolipwa ni 2b kabla ya kutoa everything 🤣🤣🤣 sio mm niliosema aliosema ni mchina mwenye mradiTrips 10M zimefanywa na combo gani?kwa kuzingatia factors zote?
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Leo hii unaomba takwimu tena 🤣🤣🤣
Izo gari 10K nizilizosajiliwa wanalipa kwa card,wengine wanalipa Toll fees kwa cashGari zilizokua registered ni 10k na trips za magari zilizofanya kwa miez 7 ni 10m na makusanyo yote yaliolipwa ni 2b kabla ya kutoa everything [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio mm niliosema aliosema ni mchina mwenye mradi
So nipe idadi ya magari yaliopita expressway? na kama hakuna registration walipata wapi data za kusema zimezungunka 10m trips🤣🤣Izo gari 10K nizilizosajiliwa wanalipa kwa card,wengine wanalipa Toll fees kwa cash
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ichoboy jambo lenyewe jepesi sana unataka kulifanya liwe kubwa.Trips 10M zimefanywa na magari kwa kipindi cha miezi saba sasa hapo sinikuganywa tu upate idadi kwa mweziSo nipe idadi ya magari yaliopita expressway? na kama hakuna registration walipata wapi data za kusema zimezungunka 10m trips[emoji1787][emoji1787]
Hebu gawanya ww utuletee hio average sasa na ugawanye na pesa ije kiwango hicho hicho 😁😁 naomba unisaidie weweIchoboy jambo lenyewe jepesi sana unataka kulifanya liwe kubwa.Trips 10M zimefanywa na magari kwa kipindi cha miezi saba sasa hapo sinikuganywa tu upate idadi kwa mwezi
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa wanachekesha sana.Ichoboy jambo lenyewe jepesi sana unataka kulifanya liwe kubwa.Trips 10M zimefanywa na magari kwa kipindi cha miezi saba sasa hapo sinikuganywa tu upate idadi kwa mwezi
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Yani ni vichekesho hao wakenya twitter wenyewe hawaamini na hawaelewi 🤣🤣Hawa jamaa wanachekesha sana.
Ukichukua kwa hesabu za kawaida.
10,000,000 ÷ 10,000 = 1,000
Yaani kila gari linakuwa trip 1,000
Mwaka upo na siku 365 maana yake ukisema linapita.
Hawa jamaa jamani.
Kwaivo argument yako ni unahitaji kuwa registered ndo ujulikane umepita?? Hivi hata unajua kama unalipa in cash ukiingia expressway unapewa risiti ambayo utatumia ukiexit ama ni kubishana tu unapenda?So nipe idadi ya magari yaliopita expressway? na kama hakuna registration walipata wapi data za kusema zimezungunka 10m trips[emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣 sasa alielipa cash inamaana hajawa registered kwenye data zenu au?? Na kama anapewa risiti maana yake amekua registered kwenye data yenu ndio maana mukatuletea habari za kuota mchana kua magari yamepita trips million 10 kwa miez sabaKwaivo argument yako ni unahitaji kuwa registered ndo ujulikane umepita?? Hivi hata unajua kama unalipa in cash ukiingia expressway unapewa risiti ambayo utatumia ukiexit ama ni kubishana tu unapenda?
Data Over Cooking (DOC)🤣🤣🤣🤣 sasa alielipa cash inamaana hajawa registered kwenye data zenu au?? Na kama anapewa risiti maana yake amekua registered kwenye data yenu ndio maana mukatuletea habari za kuota mchana kua magari yamepita trips million 10 kwa miez saba
Kwani mimi nimesemaje! Hizo 10k cars ndo registered nchi nzima??10k ni gari zilizorejister kutumia electronic tolling system, usiwe mjinga kama ichoboy
Electronic payment huhitaji card, OBU inawekwa kwa windscreen inakua scanned na cameras zilizopo kwenye entry/exit points. MTC(manual tolling card) ndo utatumia card kurecharge pesa na kuswipe kwa toll pointsIzo gari 10K nizilizosajiliwa wanalipa kwa card,wengine wanalipa Toll fees kwa cash
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Atleast mayb utamsaidia kupunguza ujinga bana[emoji23][emoji23]Izo gari 10K nizilizosajiliwa wanalipa kwa card,wengine wanalipa Toll fees kwa cash
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hio gari 10k ni gari zilizojisajili kutumia payment method moja ambayo ni (ETC) mbna nyinyi ni wagumu kuelewa vitu simpleHawa jamaa wanachekesha sana.
Ukichukua kwa hesabu za kawaida.
10,000,000 ÷ 10,000 = 1,000
Yaani kila gari linakuwa trip 1,000
Mwaka upo na siku 365 maana yake ukisema linapita.
Hawa jamaa jamani.