Kwa hivyo umekubali hakuna popote uswazini Dar iko na barabara kama hiyo ya Kibera?!ππ
By street roads sijui unamaanisha nini but if you meant access roads then zipo nyingi sana View attachment 2510286View attachment 2510287View attachment 2510288
Tena hizo registered 10k ni kwa miezi saba ujue π€£π€£π€£π€£ usisahauKumbe inapitisha gari elfu kumi buana π€£π€£π€£ ama kweli maneno ya mkenya 100 chukua moja sepanalo mengine mbwagie mwenyewe π€£π€£.. kwahyo ni sawa na barabara ya magomeni kanisani-Sinza kijiweni via Tandale .? π€£π€£π€£
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Tena hizo registered 10k ni kwa miezi saba ujue π€£π€£π€£π€£ usisahau
Hapo ni Kibera slum bongolala. The equivalent of that in Dar ni hizi hapa.
Kwan kwenye simu yako huna option ya kuzoom ukajua kwann google earth sio wajinga kuona dar hakuna slumπ€£π€£π€£ yani mpaka leo hii bado unalia na slums in dar serious ?? Nimekusaidia kuzoom eneo moja ulilopost linaitwa mabibo yani mzungu awe mjinga kuliko mkenya kaaaaahHapo ni Kibera slum bongolala. The equivalent of that in Dar ni hizi hapa.
View attachment 2510843View attachment 2510845View attachment 2510846View attachment 2510847View attachment 2510848View attachment 2510849View attachment 2510850View attachment 2510851View attachment 2510852View attachment 2510853View attachment 2510856View attachment 2510857
Niambie hizo picha za middle-class zenu uta-circle nini uach nini?
Kibera Nyumba za tope na Mabati ya lowest price Vs Nyumba za Block na Mabati Middle classHapo ni Kibera slum bongolala. The equivalent of that in Dar ni hizi hapa.
View attachment 2510843View attachment 2510845View attachment 2510846View attachment 2510847View attachment 2510848View attachment 2510849View attachment 2510850View attachment 2510851View attachment 2510852View attachment 2510853View attachment 2510856View attachment 2510857View attachment 2510855
Niambie hizo picha za middle-class zenu uta-circle nini uach nini?
Sasa dar hakuna nyumba ya mabati maskini wa mwisho anaishi kwenye nyumba ya block na sio ya tope au mabati π€£π€£π€£ tofautisha mchele na ungaKibera Nyumba za tope na Mabati ya lowest price Vs Nyumba za Block na Mabati Middle class
So those are your middle-class areas? πππππππKibera Nyumba za tope na Mabati ya lowest price Vs Nyumba za Block na Mabati Middle class
Kama hzo ni za middle tuoneshe za maskini kabisa sasa π€£π€£π€£π€£ ukipata unitag alaf uniulize nikuoneshe za middle uzuri ni kwamba hakuna nyumba ya tope au ya mabati utasema mazizi ya nguruweSo those are your middle-class areas? πππππππ
Enyewe we are not on the same level. Hii battle haina maana hata kidogo π
Toka nilipokuonesha tandale siku hzi sisikii hata ukiitaja π€£π€£ taratibu utaelewa tuSo those are your middle-class areas? πππππππ
Enyewe we are not on the same level. Hii battle haina maana hata kidogo π
Apo nimejaribu kuelezea ubora wa Mabati yaliyotumika kuezekaKama hzo ni za middle tuoneshe za maskini kabisa sasa π€£π€£π€£π€£ ukipata unitag alaf uniulize nikuoneshe za middle uzuri ni kwamba hakuna nyumba ya tope au ya mabati utasema mazizi ya nguruwe
Hata Lucky Summer which is considered a slum in Nairobi nyumba ni za block, tena apartments. Sio hizo takataka zenu zilizotapakaa kila mahali in the most disorganized fashion bila hata bararaSasa dar hakuna nyumba ya mabati maskini wa mwisho anaishi kwenye nyumba ya block na sio ya tope au mabati π€£π€£π€£ tofautisha mchele na unga
Yani mzungu alieweka sattelite juu kwa billions of money hajaona slum in dar uone wewe mlinzi wa getini π€£π€£π€£π€£π€£So those are your middle-class areas? πππππππ
Enyewe we are not on the same level. Hii battle haina maana hata kidogo π
Hzi ndio zile gorofa za tope zinazoanguka kila siku kwann zisiwe slums ikiwa maeneo tu yanaonekana ni jalala π€£π€£π€£π€£Hata Lucky Summer which is considered a slum in Nairobi nyumba ni za block, tena apartments. Sio hizo takataka zenu zilizotapakaa kila mahali View attachment 2510903