Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,220
- 3,430
Vizuri. Watengeneze pia cheese, creams na other milk products tuwe nazo nyingi na ziwe cheap.Another Tanzania Product in the Shelves. Option zinaongezeka kila siku.
View attachment 2504981
View attachment 2504982
Hata Tanzania walimu wote wapo employed by local government (TAMISEMI) central government imeajiri wakufunzi/wahadhiri! Hakuna kitu unaepuka hapa 😂😂😂They are not employees of Teachers Service Commission of Kenya, the official employer of all teachers in Kenya. ECDE teachers are employed by county governments
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kuna cases zaidi ya 100 zinazohusisha walimu wa kikenya kubaka wanafunzi na kulawiti watoto wa kiume.
CBDTembea Tembea zangu leo nikasema acha niwe [mention]NDINDA [/mention] View attachment 2505128
View attachment 2505129
View attachment 2505130
View attachment 2505131
Mbishi no.1[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kichaa wa mwaka wewe
Enhh mutaniua manake sio kwa chuki hzo 🤣🤣Mbishi no.1[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo sio miji, hiyo ni regions vs counties. Regions zenu ni kubwa kushinda counties zetu, what do you expect? Mko na 23 regions na population ya over 61m, hiyo ni average ya 2.7M people per region. Tuna counties 47 na population ya 50M. Hiyo ni about 1.06M people per county on average. Kumaanisha region yenu imeshinda county yetu na karibu 2.7 times alafu bado unazilinganisha moja kwa moja. Huwa mnashindwa kufikiria sana ninyi wabongo.Miji yao yote imezidiwa GDP na miji ya Tz.
So that you knowSo what?
What I wanted you to know is that they are employees of county governments and their renumerations differ from one county to another. There's no standard pay for ECDE teachers across the countryHata Tanzania walimu wote wapo employed by local government (TAMISEMI) central government imeajiri wakufunzi/wahadhiri! Hakuna kitu unaepuka hapa 😂😂😂
🤣🤣 wakenya bana
Nyie muko over 55m 🤣🤣🤣🤣Hiyo sio miji, hiyo ni regions vs counties. Regions zenu ni kubwa kushinda counties zetu, what do you expect? Mko na 23 regions na population ya over 61m, hiyo ni average ya 2.7M people per region. Tuna counties 47 na population ya 50M. Hiyo ni about 1.06M people per county on average. Kumaanisha region yenu imeshinda county yetu na karibu 2.7 times alafu bado unazilinganisha moja kwa moja. Huwa mnashindwa kufikiria sana ninyi wabongo.
Hii habari imekufkia 😆😆 nikutakie usiku mwema au wewe hulaliSo that you know
Haibadilishi kitu.Nyie muko over 55m 🤣🤣🤣🤣
Wewe jamaa sijui unajua chochote. Hizi taarifa umezitoa wapi?Kwa mfano, Second richest county according to that Wikipedia page ni Nakuru. Ina GDP ya USD 10M. Meanwhile population yake ni 2.1M. GDP per capita inakuja 4760 USD.
Second richest region in Tanzania ni Mwanza. Ina GDP ya USD 16M na population ya 3.7M. GDP per capita itakuwa 4324.
Clearly Nakuru ipo juu na ikumbukwe ukiangalia kwa hizo page mbili, data ya Tanzania ni ya 2019 wakati ya Kenya ni ya 2018. Ukiupdate ya Kenya ndio tunawapiga zaidi.
Watu na rufu topu zao bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio sinia tu, Pixel pia zinasema kuhusu aina ya device [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]