The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,970
Mmja keshaenda kuapishwa tayari,ngoja tusubirie hao wengine mwisho wao.Kukataa ni hiari yao huwez lazmisha watu watumikie jambo hawalitaki 🤣🤣 simunadai muna haki za binaadamu ziko wapi sasa
New York haina uswazi wacha kujidhalilishaFikeni hapa NewYork ya EAC kwanza View attachment 2503044View attachment 2503082
Profit ya all commercial banks sio 30bn ksh mzee ni 60billion ksh , rudia kufanya hesabu zako. Na hiyo ni Net ProfitYaani Profit ya all commercial banks in Tanzania? KCB bank profit in 9 months 2022 was ksh 30 Billion... which means 12 months ni same na all tanzania commercial banks [emoji23]View attachment 2502841
Alafu nmeona katika kipengele cha soko la wahitimu katika chuo husika,hao hua na uhakika wa 100% kuajiriwa tena kwenye mashirika makubwa na serikali zaoHizi list huwa ni matangazo ya kibiashara zaidi, unataka kuniambia Ujerumani au Urusi hawana "best" universities? Unafikiri ni kwa nini Leonhard Euler alikwenda Imperial Russian Academy of Sciences?
Mambo ya elimu huyajui kaa kwa kutuliaHii list imetengezwa na hao hao mabwanyenye [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani haingii akilini hata kwa mtoto wa miaka miwili
Kwanini unapenda sana kujihami mzee? Unamwambia mtu hajui mambo ya elimu!!? Halafu wewe hapa umeandika maneno ya propaganda tu, hakuna evidences ya kitu unachoandika.
Wamesema equity ni ya wazungu 😂 wali google KCB wakaachana nayoWacha wakam na ma excuses sasa[emoji23][emoji23]
You want KCB to do what? You mean like KCB should be building roads? Which school did you go to bruv😂Sasa kama kcb inafanya biashara na pesa ya Gov what do you expect?
Hata hivyo KCB is not able to fund even a 10km Road hapo Kundustan ,
William Loot-all and riggy G are busy running around the globe , country after country begging for financiers of whatever project you have, plus begging for food donations.
Imefika hatua hadi mnaomba msaada wa chakula Ukraine,
What is the Role of KCB ?
Okay achana na KCB, how about Equity?Sasa kama kcb inafanya biashara na pesa ya Gov what do you expect?
Hata hivyo KCB is not able to fund even a 10km Road hapo Kundustan ,
William Loot-all and riggy G are busy running around the globe , country after country begging for financiers of whatever project you have, plus begging for food donations.
Imefika hatua hadi mnaomba msaada wa chakula Ukraine,
What is the Role of KCB ?
Be keen my friend...i showed you that KCB's net profit for 9 months is ksh 30.4 Billion. When did tzsh 1 trillion become kshs 60 bn, show me how you came to that figureProfit ya all commercial banks sio 30bn ksh mzee ni 60billion ksh , rudia kufanya hesabu zako. Na hiyo ni Net Profit
Angalia NBC bank huku tanzania na ni bank sijui ya 4 but ndio inadhamini ligi kuu ya tanzania mwaka wa pili sasaYou want KCB to do what? You mean like KCB should be building roads? Which school did you go to bruv😂
You don't know the roles of a bank?
CRDB basketballAngalia NBC bank huku tanzania na ni bank sijui ya 4 but ndio inadhamini ligi kuu ya tanzania mwaka wa pili sasa
Alikudanganya nani ka google alaf akaachana nayo 🤣🤣🤣Wamesema equity ni ya wazungu 😂 wali google KCB wakaachana nayo
Wazungu ni nani hapo? 😂Alikudanganya nani ka google alaf akaachana nayo 🤣🤣🤣
View attachment 2503275
Kila kona mzungu kabana. The owner of Kenyan economy ni mzungu.Wazungu ni nani hapo? 😂
Mimi nataka unipe Net profit ya Bank Ya KCB au zote za kenya nzimaBe keen my friend...i showed you that KCB's net profit for 9 months is ksh 30.4 Billion. When did tzsh 1 trillion become kshs 60 bn, show me how you came to that figure