Kwa suala la Majengo ya Zamani, China anayo piaHawa ndugu zako hawawezi elewa. Kuna mwengine alipost humu Mombasa old town eti anasema ni mahali ovyo yafaa pabomolewa. Yani huwa hawaappreciate architecture, wao wakiona skyscrapers za vioo - basi. Hawajua sahii China hadi imeban ujenzi wa supertalls kisa maghosttown yamekuwa mengi. Yani China na middle-east zimefanya kinachoitwa ego-building while Europe imejenga kucater for demand. Halafu kitu hawaelewi ni kwamba, construction technology ilikulia sana Europe ndio maana sahii kuna majengo mengi Europe yaliyojengwa 1000 years ago na bado yapo hali nzuri ya utumishi wakati sehemu zingine za dunia ni majengo machache sana ya hizo enzi yanayoweza kutumika sahii.
Majority unamaana ipi. Wakati wazungu ndio majority.🤣🤣🤣🤣 Najua uli google ownership ya KCB group ukapigwa na butwaa
Majority ownership of equity are Kenyans 🤣🤣
Plus do you mean all the tanzania commercial banks in that list are Tanzanían owned? Cause I saw a couple of kenyan banks 🤣🤣
Kidogo sana ukicompare na Europe. Most of Chinese medieval buildings were made of wood and didn't last very long. Halafu nyingi wanazosema ni ancient bildings ni just reconstructed buildings that are designed to resemble their ancient buildings. Huwezi pata mji wa China hivi - yani 80% of the buildings are over 100 years old.Kwa suala la Majengo ya Zamani, China anayo pia
I couldn't help but notice the ugly flats in the background.Hakuna aina yoyote ya makazi ambayo haipo ndani ya china .. The best 007 👇View attachment 2502863View attachment 2502864View attachment 2502866View attachment 2502867View attachment 2502868View attachment 2502869.. hii ni residential area tu in Beijing.. tuusan. Usije ukajua china ni ya gorofa tu.. lahasha.!!
Kwahiyo unataka kutuaminisha kutuaminisha kwamba Hizi gorofa za Europe hazijarekebishwa.? Wacha ujingaKidogo sana ukicompare na Europe. Most of Chinese medieval buildings were made of wood and didn't last very long. Halafu nyingi wanazosema ni ancient bildings ni just reconstructed buildings that are designed to resemble their ancient buildings. Huwezi pata mji wa China hivi - yani 80% of the buildings are over 100 years old.
Umesoma kuelewa ama umesoma kujibu?Kwahiyo unataka kutuaminisha kutuaminisha kwamba Hizi gorofa za Europe hazijarekebishwa.? Wacha ujinga
Kwani tunabishania nn kaka?Hakuna aina yoyote ya makazi ambayo haipo ndani ya china .. The best 007 [emoji116]View attachment 2502863View attachment 2502864View attachment 2502866View attachment 2502867View attachment 2502868View attachment 2502869.. hii ni residential area tu in Beijing.. tuusan. Usije ukajua china ni ya gorofa tu.. lahasha.!!
Onesha hao wa kenya
First of all umenionyesha less than 20% ownership of equity, whereis the other 80%? Cause that's the majority.Majority unamaana ipi. Wakati wazungu ndio majority.
Yes hua wanacompare Johannesburg ama capetown na city zaoSidhani kama hao wachina na wazungu wana muda wa kujadili cities za Africa kama mnavyo fanya! [emoji706][emoji706][emoji706]
Tumeacha kuongelea Equity tena?First of all umenionyesha less than 20% ownership of equity, whereis the other 80%? Cause that's the majority.
Anyway lets put a pen on that paper, let's find out who owns the largest Tanzanian bank, NMB
View attachment 2502873
Yes hua wanacompare Johannesburg ama capetown na city zao
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Nenda SSC utaona wanavyoshangaa izo citiesKama mnavyo fanya hivi humu?
Bado sijaona turkish finance kwenye hiyo report au maeĺezo yako.What more evidence do you need than these reports?
Turkey wins bid to finance, build $1.9b second phase of Tanzania railway
Firm met technical and financial requirements to clinch deal.www.google.com
Tanzania signs $1.9 bln railway contract with Turkish firm
Tanzania on Tuesday signed a contract with Turkish firm Yapi Merkezi to build a 368 km section of standard gauge railway that is expected to cost $1.9 billion and will be funded by loans.www.reuters.com
Tanzania's turn to Turkey for SGR funds leaves China in limbo
Tanzania now looks to Turkey and World Bank to finance mega projects.www.theeastafrican.co.ke
And if those are not enough, below is an excerpt from one of reports I have shared quoting your president View attachment 2502528
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndo mwenyewe wa sinia la bati.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimesikitika sana kukosa kufanya application ya Block Farming ya Mradi wa BBT mpaka jana kumbe muda umeisha, ila poa ntajipanga kivingine.
Umesema vizuri sana, kilimo na ufugaji ndio future, mi nilianza tu kiutani utani urban gardening kwenye eneo la nyumba yangu leo nina miti aina kumi za matunda na sinunui mbogamboga. Tupambane kwenye kilimo, hizi progress tunatamba nazo bila chakula ni upumbavu tu kama wenzetu hawa wanaolilia ugali kila siku huku ardhi wamepanda maua.
Hope so huu mradi wa BBT utatoka tena kutokana na uhitaji wa watu, kuwa chonjo next time usiukose.Hata mimi bado ila mbeleni nitafanya hivyo.Nimesikitika sana kukosa kufanya application ya Block Farming ya Mradi wa BBT mpaka jana kumbe muda umeisha, ila poa ntajipanga kivingine.
Umesema vizuri sana, kilimo na ufugaji ndio future, mi nilianza tu kiutani utani urban gardening kwenye eneo la nyumba yangu leo nina miti aina kumi za matunda na sinunui mbogamboga. Tupambane kwenye kilimo, hizi progress tunatamba nazo bila chakula ni upumbavu tu kama wenzetu hawa wanaolilia ugali kila siku huku ardhi wamepanda maua.
Nenda shule kajifunze hesabu tenaYaani Profit ya all commercial banks in Tanzania? KCB bank profit in 9 months 2022 was ksh 30 Billion... which means 12 months ni same na all tanzania commercial banks [emoji23]View attachment 2502841