Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya police uniform are very UGLY but better than tanzania police [emoji23]View attachment 2502141View attachment 2502142View attachment 2502143

Warathese
View attachment 2502144View attachment 2502145
Umechanganya madesa polisi ya tanzania ina unform tofauti kutokana na majukumu hizo ulizo weka hapo ni uniform za kimapigano au tuseme hizo ni combat uniform
Kwa kenya uniform za polisi wenu kimapigano ni gwanda la jeshi juu na chini sijui wanavaa kitu gani nimesahau yani ni kituko
 
Naona magari yote ni ya 5 yrs ago.. ama kweli kwa maneno 100 ya mkenya.. ondoka na neno moja, tena kwa tahadhari kubwa!
View attachment 2502263View attachment 2502264
Kenya ina magari chakavu na mikweche choka mbaya [emoji1787][emoji1787]
Ndiyo maana watu wa nchi za africa wakija dar wanashangaa magari safi ...nakumbuka kuna mwaka wanajeshi wa india walikuja na kushangaa sana wakasema walipo sikia tanzania ni masikini wa 3 kutoka mwisho walijua ni nchi mbovu sana ila walipo fika wamekuta magari makali wakabaki midomo wazi hiyo ilikuwa miaka ya 1998 hivi rais alikuwa chegovala kikwete [emoji1787]
 
Watu tunaoishi vijijini leo tumekumbukwa.

Kwanza kuna hewa safi, eneo kubwa la nyumba, vyakula ni fresh kabisa (mfano samaki anatolewa kwenye maji bado anacheza cheza huku nyinyi mnakula wa kwenye mabarafu wana zaidi ya mwezi 1.

Matunda ya kila aina unapata. Ila inategemea ni nchi gani kwa Tanzania karibu nchi nzima vyakula vyote unavipata.

Tunakunywa springs water.

Ila wakuu tusiache kulima na kufuga baadaye itakuwa deal sana, kama mtu huna shughuli nyingi town za kukulazimu uzisimamie angalieni na upande mwingine wa kilimo.

Babu zangu wote walikuwa wakulima na wafugaji sikuwahi kuwaona wanalia shida ya mahitaji mpaka wanakufa waliacha akiba ya pesa kwa watoto wao. Baba zangu waliokuwa wafanyakazi ni vichekesho vitupu.

Tuandae maisha ya uzeeni tukiwa vijana, umri unaenda na nguvu zinaisha.
 
Hii bado mnayo? [emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2502338
Du haya magari watakuwa wakunya watakuwa wanaokota kwenye viwanda vya kusaga vyuma kule ulaya na asia.....yakiwa yamepelekwa kusagwa vyuma jamaa wanaya nunua kama chuma chakavu na kuyapeleka nchini kwao hadi nairobi[emoji1787]yani kwenye huo msururu wa magari sijaona gari hata la kujisifia kuwa unamiliki gari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
acha kuchosha akili, huna uwezo wa kufikiria
 
Mimi sikusoma ila sipingani na ukweli kama wewe uliyesoma
 
Wewe bongolala wacha nye nye nye. Traffic jam hupatikana hata New York na London. Hata hapo Dar is slum foleni hupatikana so you are not making any sense at all!
 
Wewe bongolala wacha nye nye nye. Traffic jam hupatikana hata New York na London. Hata hapo Dar is slum foleni hupatikana so you are not making any sense at all!
Kenya wanashindwa kununua unga wa ugali tu, leo hii waweze kuwa na magari!!! 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…