China kwenye technology kwa dunia ya sasa ni tishio kubwa sana hata wazungu wenyewe hilo wanalijua 😆😆😆Halafu bado watu wanalalamika china yupo nyuma. Hii sijui ni nini. Sijui uchawi au wamelishwa libwata na wazungu.
Uzi wetu huu si mchezo aisee, una viewers 20m [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]View attachment 2500944
Excuse yao ni hii [emoji116][emoji116]Jumlisha wote hawawezi kufikia china
Enzi ya wakalenjin hii.Bila shaka itakua ni chakula yake hii🤫🤫
Wew jamaa unapelekeshwa na propaganda za wamagharibi...
China imeendelea mzee tena sana...lakin kwa sababu ya siasa zao na kuonekana na misimamo yao...Western inawaunderate...
Ni kama kenya tu...hakuna chochote kule ni umaskini mtupu zaidi ya 50% lakin kwa sababu wameamua kuwa vibaraka wa wazungu..Western ina warate vzr kimataifa...
Too deep...watu wa US wanawaogopa sana wachina...kwa sababu kwanza wamewekeza sana huko US hasa kwenye biashara nyingi za kati kuliko hata wazawa....
Wasisahau kuwa Kuna kanuni za utumishi wa umma,kumgomea bosi ni hatari sana
Unafikiri dunia ya leo unaweza danganya mtu? Maybe mibongolala wenzakoNani alikudamganya hayo maneno hakuna pesa ya mturuki hata senti moja imefadhili reli hii acheni kudanganyana 🤣🤣🤣
Ukipata official source tanzania imekopa pesa uturuki au mturuki kaweka pesa yake kwenye SGR nitag plz nifunge acc 🤣🤣🤣 munapata presha bure kabisaUnafikiri dunia ya leo unaweza danganya mtu? Maybe mibongolala wenzako
Turkey wins bid to finance, build $1.9b second phase of Tanzania railway
Firm met technical and financial requirements to clinch deal.www.google.com
Tanzania signs $1.9 bln railway contract with Turkish firm
Tanzania on Tuesday signed a contract with Turkish firm Yapi Merkezi to build a 368 km section of standard gauge railway that is expected to cost $1.9 billion and will be funded by loans.www.reuters.com
Kumbe huwa ni lazima.
Unaweza kukataa kwa utaratibu lkn sio kwa namna ya kuonyesha unakataa teuzi/wito wa Rais hasa kwa umma wote kujua umekataa.Kumbe huwa ni lazima.
Nafikiri baada ya world war, Germany ilifungiwa kwa sheria za kimataifa kuhusu utengenezaji wa silaha na mambo mengine.Lakini uhalisia huo unashindwa kuwa proved kwenye real world. China wapo na Space Station lakini German hawana.
China wanatengeneza Modern Fighter jet lakini Ujerumani hawana
J20
Tuambie sasa. London inaizidi nini Shanghai?I lived in China (Shanghai) for 5 years and travelled all over the country. I've also lived in England (London and Leeds) and in several cities in the US including Chicago. I've travelled to pretty much every continent from Rio to Paris to Singapore.
When it comes to tall shiny new buildings and infrastructure in general (Road, Rail, Airports...) China wins hands down. No other country comes close in terms of scale. However there is more to a city than just tall soulless new buildings with zero character(cough, cough Dubai).
With that in mind there is no city in China that comes even close to the likes of Paris, Barcelona, Amsterdam, New York, Chicago, Tokyo...
Hata ukubwa wa jeshi mwaka 1990 baada ya Reunification Ujerumani ilisaini pact kati yake na Russia+US+UK+France hawaruhusiwi kuwa na jeshi linalozidi wanajeshi 200,000!Nafikiri baada ya world war, Germany ilifungiwa kwa sheria za kimataifa kuhusu utengenezaji wa silaha na mambo mengine.
Kwa hiyo unatakiwa uapishwe kwanza kisha utenguliweUnaweza kukataa kwa utaratibu lkn sio kwa namna ya kuonyesha unakataa teuzi/wito wa Rais hasa kwa umma wote kujua umekataa.
Hapo kukataa kwao kwa utaratibu ungesikia 'Rais katengua uteuzi wa flan na flan'. Hata juzijuzi exboss wa TISS alikataa post mpya ndo mana ukasikia uteuzi wake umetenguliwa
Hao kazi Yao ni kuzusha mambo Ili wajiliwazeUkipata official source tanzania imekopa pesa uturuki au mturuki kaweka pesa yake kwenye SGR nitag plz nifunge acc [emoji1787][emoji1787][emoji1787] munapata presha bure kabisa