Angeenda USA angerudi walau na 5series moja ama ama evoque sio China unarudi na Bag la jeans na mashatiKuna mwanangu nlimaliza nae chuo miaka kadhaa ya nyuma, mimi nikaanza career yeye akaenda China kufanya masters , akarudi baada ya miaka miwili, nikampokea tukakaa magetoni hadi alipopata ramani, yaani jamaa ni kama China ilimvuruga akili, humwambii kitu juu ya China, ni kama hawa wa humu [emoji3][emoji3][emoji3]
Nawaelewa hawa jamaa. Hawafanyi tafiti vizuri
If that is true the project will be a game changer [emoji122]Serikali kwenye oil and gas itakuwa inachukua up to 80% of all revenues according to PSA zilizokuwepo through royalties, shares and Tax
Ethiopia hatuwapati leo wala kesho,wameshawasha Turbo alafu engine ni V12...Ethiopia and Tanzania will Replace Kunyaland,
Then Uganda will replace everyone in the region in just 10 years after they start exporting their Oil.
Sasa hizi sasa zinakuwa sababu za ajabu kweli. Kwanini india haipo. Tuwape heshima wachina.Wachina 1.4B wanakaribiwa na waingereza 80M kwa publications?wape kongole waingereza kwenye hiyo list na USA
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hili ndio moja ya majiji yenye Uchumi mkubwa Duniani kutoka UchinaShanghai - China
Angeenda USA angerudi walau na 5series moja ama ama evoque sio China unarudi na Bag la jeans na mashati
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ethiopia hatuwapati leo wala kesho,wameshawasha Turbo alafu engine ni V12...
Hawa wakenya ndio tunaweza kuwala mchana kweupe japo tutachelewa kidogo...
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Wakenya ni waingereza bubu,low budget EuropeansWale jamaa nawakubali sana, ni wafanisi sana kazini na hawana makelele, hata sasa nafanya nao kazi .. very efficient, halafu wako real. Hawafake maisha ya uzungu kama hawa waingereza weusi, Wakundustani, wazee wa flying toilets na kwenda mavi kwa vichaka.
Yaani waethiopia hujiona ni waafrica kuliko wakunya.
Umene wa uhakika JNHPP, LNG plant and terminal, Bagamoyo Port, BRT, DODOMA, airports and ports expansion and modernization, EACOPP, SGR ya stima. Hii yote ni miradi wezeshi kiuchumi na ndio itatupa economic sprint hapa EA and beyond.Miradi gani bongolala? Ya treni ya waturuki ama?
Wachina 1.4B wanakaribiwa na waingereza 80M kwa publications?wape kongole waingereza kwenye hiyo list na USA
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Unajua tu kuhusu Illinois hujui chochote kuhusu Shenzhen .. tulia uelekezwe sasa.. there are 1,777 companies based in Shenzhen .. these ar 5 biggest companies to watch ..Unajua unatakiwa uwe na facts ndio unakuwa unamake sense, vinginevyo nakuwa kama tu kama nabishana na dereva wa bodaboda,
Huo mji mzuri wa majengo wa uchina Utazidi nini Chicago zaidi ya eneo ? Yaani hata mnaposema China itazidi US kwa technology mnakuwa kama watu wasiojua mambo,
China is doing good, na imejitahidi sana, but levels kaka, Levels !
Sasa just imegine hiyo Chicago wewe sababu huijui huelewi kuwa Illinois ndio makao Makuu yamakampuni makubwa Duniani Kama Abbott , Boeing, MacDonalds , John Decree, Motorola nk ,
Huo mji wa uchina una nini ?
China hawana hata leseni ya kuzalisha ndege za abiria.. ndio kwanza wanaanza sasa hivi kupambana, ila Chicago ndio HQs za Boeing ..
Tazama haya makampuni yamebase Illinois , yaani Chicago Ndio HQs,
Next time watu wakisema Chicago ina GDP mara tatu ya Shenzhen hii ndio maana yake.. Elimu. View attachment 2501647
View attachment 2501648
View attachment 2501649
Ile ndio ilinitia shaka sana Magu alikuwa anawagomea kutudanganya watainvest 30 usd billions ukiwa unaonekana ni mtaji mkubwa sana na utaleta implication kwenye mikataba, alivyo fariki tu investment capital imeenda hadi 40 usd billions. Just thinkingKwani ile waliyoisaini wa kina Makamba chap chap mwaka jana ilikuwa ni ipi?
Tumeshawapita mda mrefu imebaki makaratasi tu, ukitaka ushahidi angalia miradi tunayofanya hamuwezi kuifanya hata robo ya hiyo.
Treni ishakua ya waturuki tena 🤣🤣🤣🤣Miradi gani bongolala? Ya treni ya waturuki ama?
Shenzhen inaitwa silcon valley of chinaUnajua tu kuhusu Illinois hujui chochote kuhusu Shenzhen .. tulia uelekezwe sasa.. there are 1,777 companies based in Shenzhen .. these ar 5 biggest companies to watch ..
1. Tencent .. Asia's most valuable company with market capitalization of $750 billion, it's revenue was $73.5 billion in 2020
2. DJI, the world's leading drone manufacturing company, DJI now has 76% consumer drone in US and 70% of the global market
3. BYD electric car manufacturing company, the second in the global market behind tesla,
4. Royole
5. Malong technologies
pita hapa 👇"Five Shenzhen-based companies to watch - I by IMD" Five Shenzhen-based companies to watch - I by IMD.
Shenzhen pia Iko na 4th largest container port on earth View attachment 2501693. Nimeona umeandika kwamba eti china hawana leseni za kuzalisha ndege za abiria 🤣🤣🤣.. kumbe huna ujualo.. hii nayo nini.? 👇View attachment 2501696.. pita hapa 👇China completes delivery of first homegrown passenger jet – DW – 12/09/2022.