Haina maajabu yoyote Tokyo compared to modern cities like, Shengzhen, Chongqing, Guangzhou, Chengdu n.k likija suala la infrastructure+ beautiness.. au unaweza kuitetea .?
Mtukufu ni Mungu pekee aliyeziumba mbingu na nchi.MTUKUFU MAGUFULI ASIGUSWE NA MUHUNI YOYOTE WA SAMIA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] So poa .. hakuna taifa lenye liko mbele ya china kwenye hii dunia tunayoishi kaka.. si America sio wapi
Kwani ile waliyoisaini wa kina Makamba chap chap mwaka jana ilikuwa ni ipi?I dont know , labda kama watakuja kutuweka wazi maana si hata Deal halijawa done
Tumeshawapita mda mrefu imebaki makaratasi tu, ukitaka ushahidi angalia miradi tunayofanya hamuwezi kuifanya hata robo ya hiyo.We've been hearing the tunes of this song for the last two decades
We've been hearing the tunes of this song for the last two decades
There are 200+ copy cut cities in china pamoja na hiyo Paris+London+Manhattan .. kwahyo china huwezi shindana nayo kwasababu they also do have replicas of those beautiful cities in Europe u mentioned.. 👇Sasa hapo unakuwa general sana, unawezakuwa unaona skyscrapers as the sign of development au maajabu au unyama sana kwako which is okay,
Ila sio kila mtu anaona hivyo,
Kumbuka kuna miji mingi mizuri kuliko hiyo ya uchina na haina skyscrapers,
Mfano hiyo miji yote umetaja sioni kama kuna mji unafikia Paris kwa Uzuri in all aspects, na Paris haina skyscrapers, na Huwezi sema Paris ni Mji wa kizamani kisa hauna skyscrapers, despite the fact that majumba mengi ya Paris au London au Berlin yamejengwa karne za 16 hadi ya 20,
In general Miji ya ulaya haitaki kujenga hayo majengo marefu, they prefer to keep their heritage, na bado imebaki ni mizuri na ya kisasa na inayoenda na muda.
So is Tokyo.
Wewe ukiona Dar imeshinda Nairobi ni sawa pia swali je wewe unatengeneza shingi ngapi hapo Dar na Nairobi , dollars za Dar hizi [emoji23] Dar kuna hela , Nairobi kuna hela msidanganyaneDuuh yn nyie mna concrete kuliko Dar?
Kwani alieanza kitambo hawezi kuzidiwa.? China ame prove kuwa na technology kubwa in recent years.. ame develop zile technologies amezikuta na kufanya maajabu . Tunavyoongea hiv sasa ni kampuni za kichana ndio zinafanya vizur zaidi duniani.. karibu dunia yote inajengwa na wachina saivi, Latin America & Africa china tayari amesha win haya mabara .. wenyewe wanalalamika huku westerners 👇When it comes to Technology mkuu achana na Japan , hata US bado inaweza kalishwa na Japan, China wamefanya mengi recently, but bado watoto wadogo, haya mambo ya technology yana wakongwe wake ambao wameanza kitambo.
The likes of Germany. Nawakubali sana Germans . Hutasikia kelele huko, ila kitu unakiona leo China au Japana hawa Mbwa wamekifanya 1970.
Kwani alieanza kitambo hawezi kuzidiwa.? China ame prove kuwa na technology kubwa in recent years.. ame develop zile technologies amezikuta na kufanya maajabu . Tunavyoongea hiv sasa ni kampuni za kichana ndio zinafanya vizur zaidi duniani.. karibu dunia yote inajengwa na wachina saivi, Latin America & Africa china tayari amesha win haya mabara .. wenyewe wanalalamika huku westerners [emoji116].
Kwani alieanza kitambo hawezi kuzidiwa.? China ame prove kuwa na technology kubwa in recent years.. ame develop zile technologies amezikuta na kufanya maajabu . Tunavyoongea hiv sasa ni kampuni za kichana ndio zinafanya vizur zaidi duniani.. karibu dunia yote inajengwa na wachina saivi, Latin America & Africa china tayari amesha win haya mabara .. wenyewe wanalalamika huku westerners [emoji116].
Hawa jamaa wamenipigia simu last week wameanza kuuza spaces, na wanasema jengo litaamka ndani ya miezi 8 tu.Construction of EACLC has commenced
View attachment 2501380
View attachment 2501381
View attachment 2501382
Siku zote hizo usipost upost leo, au ndio umevizia utumwe pesa za ofisi uje upost humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe ukiona Dar imeshinda Nairobi ni sawa pia swali je wewe unatengeneza shingi ngapi hapo Dar na Nairobi , dollars za Dar hizi [emoji23] Dar kuna hela , Nairobi kuna hela msidanganyaneView attachment 2501373
Hii ubungo wataelewa tu.Construction of EACLC has commenced
View attachment 2501380
View attachment 2501381
View attachment 2501382
Cha maana you're watchingUnajua nimeitafuta roundabout sijaiona?
Iko wap hapo
[emoji23][emoji23] si nimesema ni za ofisi yangu hapo Dar, zimetoka kwa ofisi zinaigia kwa mfuko kazi ya siku moja tu.Asante usisahau hapa ni utani tu[emoji23][emoji23] mimi bila Tanzania sijui nitaishi aje[emoji23] monopolySiku zote hizo usipost upost leo, au ndio umevizia utumwe pesa za ofisi uje upost humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila hongera umejaribu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 Bro inawezekana labda huenda tokyo iko vizur, lakini sio kuzidi miji ya china bhana.. heb ona 👇 TokyoNakumbuka miaka kadhaa ya nyuma baada ya kumaliza chuo mimi nikaanza career, kuna rafiki yangu akaona atimkie China akafanye Masters huko, akakaa huko miaka miwili, alivyorudi miaka miwili baadae mimi ndio nlimpokea tukawa wote magetoni hadi alivyopata ramani akasepa,
But jamaa hadi leo humwambii kitu kuhusu China, yaani dunia yote ni takataka mbele ya China
Najaribu kumwelewa huyu mwamba humu , huenda ameendaenda China na hajaenda miji mingine ya duniani.. au hajafanya research ya kutosha.
Hii ni mbaya sana
Jamaa anafika mahala anachukulia powa miji mikubwa yenye heshima kama Tokyo sababu ya maghorofa marefu ya kwenye miji mipya ya uchina
Thought Hatukatai namna China ilivyofanya kupindua meza kwa muda mfupi sana.