Hao jamaa wa falme za kiarabu wanataka kuifanya TZ kuwa Oil Hub hapa East and Central Africa.Hivi hawa wanamtaka nani? Kipindi cha Magufuli walikua wanasema tunamtaka Rais mkali kama JPM, hiki kipindi cha mwanamke nao wanataka Rais mwanamke mpole [emoji23][emoji23][emoji23] alooo!
Nani anawaelewa hawa anisaidie ufafanuzi?
Hiyo spire iko very conspicuous kuliko the main structure [emoji16]The tallest building in East, Central, and West Africa
Britam Towers, UpperHill Kenya
Akikutajia ni-tag!Embu taja any European country ambayo haina electric trains.
Wacha hata electric trains. Kuna nchi za ulaya ambazo hazina hata functional diesel railway system. Mfano ni Andorra, Cyprus and Iceland. Swali ni je, Tanzania ni nchi tajiri kushinda Cyprus ama Iceland kwa mfano ambazo hazina any railway system, iwe ni ya diesel ama electric?Embu taja any European country ambayo haina electric trains.
Let me make it simpler for youAkikutajia ni-tag!
Wacha hata electric trains. Kuna nchi za ulaya ambazo hazina hata functional diesel railway system. Mfano ni Andorra, Cyprus and Iceland. Swali ni je, Tanzania ni nchi tajiri kushinda Cyprus ama Iceland kwa mfano ambazo hazina any railway system, iwe ni ya diesel ama electric?
Watanzania mnapenda ubishi za kijinga sana!! Jielimishe kidogo kabla ya kuweka ubishi mbele
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ndio hua najiuliza , kama mtu asiye aggressive anaona business opportunity wao aggressive wapo wapi, Pia hivi karibuni nimepitia pitia kampuni za uzoaji taka Nairobi kama za Dar nimegundua kuna kampuni kongwe ila ina wateja 300[emoji23]Yaani kampuni imeanzishwa miaka ya 80 ina wateja 300 wakati Kampuni moja bongo iliyoanzishwa miaka 7 iliyopita ina wateja wengi na ipo mikoa kadhaa [emoji23]
Yaani hawa watu ni midomo tu mirefu kama SGR ya Tanzania [emoji41]
Jisomee hapa.
Kenya
The Best Waste Management Companies in Kenya - The Best in Kenya
Do you want to enjoy a clean environment at your home or workplace? Here are the reliable waste management companies to cater for your litterthebestinkenya.co.ke
Tanzania.
Green WastePro Ltd - About
Learn more about Tanzania's leading waste management companywww.greenwastepro.co.tz
Haya mambo kwa Afrika huku ni mageni mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nchi ya kutembea kwa mguu unaimaliza kwa masaa tu iwe na SGR ya nini? Una akili kweli kichwan?Wacha hata electric trains. Kuna nchi za ulaya ambazo hazina hata functional diesel railway system. Mfano ni Andorra, Cyprus and Iceland. Swali ni je, Tanzania ni nchi tajiri kushinda Cyprus ama Iceland kwa mfano ambazo hazina any railway system, iwe ni ya diesel ama electric?
Watanzania mnapenda ubishi za kijinga sana!! Jielimishe kidogo kabla ya kuweka ubishi mbele
I thought you had the balls to mention european states but you had no balls instead you mentioned european microstates.Wacha hata electric trains. Kuna nchi za ulaya ambazo hazina hata functional diesel railway system. Mfano ni Andorra, Cyprus and Iceland. Swali ni je, Tanzania ni nchi tajiri kushinda Cyprus ama Iceland kwa mfano ambazo hazina any railway system, iwe ni ya diesel ama electric?
Watanzania mnapenda ubishi za kijinga sana!! Jielimishe kidogo kabla ya kuweka ubishi mbele
kule kwao wanaosha kwa mkono!
So it's now not about European countries again?!😂😂😂I thought you had the balls to mention european states but you had no balls instead you mentioned european microstates.
This is akin to saying that Zanzibar does not have an electric railway while Tanzania has one.
Imepewa hadhi ya nyota 5[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]Rotana classic suite Dar e salaam[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
View attachment 2498486
🇹
Au nimeifananisha? [emoji848][emoji848]Imepewa hadhi ya nyota 5[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Ninauhakika umeelewa ninlichosema, unajaribu kukwepa Ili kujiliwaza baada ya kugundua ujinga wenu wa kujenga "Diesel railway katika Karne ya 21, hovyo Sana ninyi.Ulisema hakuna nchi yoyote duniani yenye pesa haijajenga treni ya umeme. European countries are wealthier a million times than your shithole country yet some of them don't have electric trains. Do you think they lack the money to build electric railway system? Mibongolala ni mibongolala tu
Huna akili wewe, soma hiyo post yangu na utumie akili kuielewa. Nimesema kwamba " Hakuna nchi yoyote tajiri na yenye uongozi Bora ambaye (Ikiamua kujenga reli) ichague kujenga reli ya mafuta. Chizi weweHii ndio kitu huyo kilaza wenu alisema [emoji116]
Sasa swali ni: Tanzania ina hela nyingi kushinda zile nchi za ulaya ambazo hazina electric train? Mbona sasa unatetea ujinga?
Kama serengeti ni ya kenya hapo wametupiga bao maana ipo vizuri kuliko beer nyingi za tzHizo tusker huku hazipo cku hz, pombe za Kenya karibu zote tulizipiga ban zina ladha mbaya kama unakunywa chang'aa.
Wanabaka wadada, wanaiba madukani, wanaiba migodini, wanajipiga selfie thus y raia hawataki kuwaona.Kenya wanafanya nini kongo
Angalia chupa hyo mkuu imeandikwa Tz.Kama serengeti ni ya kenya hapo wametupiga bao maana ipo vizuri kuliko beer nyingi za tz