Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,224
- 107,847
Kupata kazi kwa namna hii ina disadvantages kubwa! Haweza ku-bargain numeration packages at a market rate! Yaani hapo chochote kilichowekwa mezani kabeba out of desperation!Miaka yote hiyo elimu yake imeshakua obsolete ndio maana akili yake imemtuma atembee na bango mgongoni.
Huku sisi huwa hatucheki na nyani huwa tunawabebesha mimba watu kama kina Al Shabab.Peaceful nationa mbona mnawekelewaView attachment 2498440
Safi sana mkuu, huko Kenya hakuna opportunities kama hizi, ikitangazwa position moja applicants wanakuwa 100,000 ni hatari sana.Jamen, humu kuna engineers (electrical & mechanical) anatafuta michongo niwe narusha updates humu?.. mana huwa napitia pitia pages za makampuni (viwanda) kutafuta tenders za kimaintenance services. Mara nyingi nakutana na employment opportunities wameziweka huko.. sometimes pia tunawapigia wahusika kuwaambia huyo mtu wanaemtafuta, hizo kazi zake tunaziweza kuzifanya kama kikampuni 'service provider', but most of them wanataka kuemploy mtu na si kuingia mkataba na kampuni nyingine.
Kuna tangazo kama hili, mechanical engineer anatafutwa
View attachment 2498485
Pia, mkiona kiwanda kinatafuta kampuni ya kufanya service au maintenance ya mashine yoyote hasahasa condition-based, condition monitoring na reliability services (hizi ni deals kubwa viwandan), 'jamen' msisite kushare huku, tupate hata kaugali ka watoto
Hoja zao kuu tatu πππNi hayo tu, Pia GDP [emoji23]
Hii ndio kitu huyo kilaza wenu alisema πNimesema Kenya ndiyo haina hela.
Ndio hivyohivyo, hakuna nchi yoyote yenye pesa na uongozi Bora ambayo inajenga rail inayotumia "Diesel" ktk Karne hii
Hii ndio kitu huyo kilaza wenu alisema π
Sasa swali ni: Tanzania ina hela nyingi kushinda zile nchi za ulaya ambazo hazina electric train? Mbona sasa unatetea ujinga?
Wakenya wanajivunia currency yenye nguvu lakini hawajui ilivyo hovyo, imagine hiki kipande cha muhindi ni Tsh 600 Kenya
View attachment 2498514
Bila shaka huo muhindi ni 'made in' TanzaniaWakenya wanajivunia currency yenye nguvu lakini hawajui ilivyo hovyo, imagine hiki kipande cha muhindi ni Tsh 600 Kenya
View attachment 2498514
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakenya wanajivunia currency yenye nguvu lakini hawajui ilivyo hovyo, imagine hiki kipande cha muhindi ni Tsh 600 Kenya
View attachment 2498514
Kumbe breakfast yao ni mahindi, mambo mengine mpk huruma aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiki kama sio 100 basi mia mbili pamoja na chumvi na Ndimu [emoji23][emoji23][emoji23], Jero unapewa lote [emoji41]
BTW katika aina za taka barabarani Mjini Nairobae , kuna magunzj na Maganda ya mahindi mengi kuliko aina nyingine za taka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ni kutapatapa tu! Hueleweki bongolalaNchi yenu imefulia, ndiyo maana mnajenga SGR mafuta. Na sasa serekali yetu, haitafanya miradi mwingine tena.
Perfomance of the national team. Basic knowledge yenye najua unajua ila unapenda tu ubishi za kijingaSasa maendeleo ya soka kwa nchi husika hupimwa na nini?
Hii issue inaweza kuwa proven easily kwa kutazama data ya formal jobs between kenya na Tanzania.Ila mmekua watu wa mipasho tu, kazi kuliwazana na kuchekeana wenyewe. Kurasa baada ya kurasa hakuna kipyaSafi sana mkuu, huko Kenya hakuna opportunities kama hizi, ikitangazwa position moja applicants wanakuwa 100,000 ni hatari sana.
Cha kushangaza bado wanalalamika hakuna ajira, πππ zote umeongea ni fursa hapo kuanzia ughali wa mahindi (wanatakiwa wakalime kwa wingi ya umwagiliaji walitosheleze soko) na fursa kwenye uzoaji taka, umeshaelezea vizuri hili lakini hawa aggressiveness yao sijui ipo wapi ukiondoa ukora πππHiki kama sio 100 basi mia mbili pamoja na chumvi na Ndimu [emoji23][emoji23][emoji23], Jero unapewa lote [emoji41]
BTW katika aina za taka barabarani Mjini Nairobae , kuna magunzj na Maganda ya mahindi mengi kuliko aina nyingine za taka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lazima, mahindi yote hayo utashangaa mengine yanatoka mpaka Mwanza au Tanga, wanasema tulime wana hela za kununua πππBila shaka huo muhindi ni 'made in' Tanzania
πππ Bongo uuze kipande kama hicho 500 kesho utaletewa Fuso kutoka Ruvu na Morogoro za mahindi bei ishuke mpaka 40/= ππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]