Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili suala hapo wamejitahidi. Lkn, wajuzi wa mambo.. Tanzania sisi wenyew tunashindwa nn kushimba visima au kujenga yale matanks sijui silos vya kuhifadhi mafuta kama wamarekan wanavyofanya.. yan tujenga vya kutosha hata nusu mwaka au mwaka mzima, mfano hata bei ya mafuta ikipanda sisi haitatuaffect kwa mafuta yatakayokuwa yamereserviwa kwenye hivyo visima (yan bei yetu itabaki ileile mpk yatakapobaki ya mwezi mmoja au miwil)..
shida au kikwazo kiko wap? Mabeberu hawapend tusave mafuta mengi? Ili bei ikipanda wasitajirike? Au nn shida?
 
Aliyekuwa anauthubutu hayupo now, wacha wamalizie miradi yake basi.
 
Huo mchezo unaopendwa duniani bado pia mnasoma number yetu, kama ilivyo ada [emoji23][emoji23]
Check latest FIFA rankings
Kwenye soka hatupaswi kulinganishwa na nyie, bingwa Tz anapata prize milioni 600 but bingwa Kenya anapata milioni 18 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…