Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

shida huyo jamaa wenu haezi kiingereza...ndio maana anasikika tu hapa EA...wale kina wizkid wapo level ingine bana...si level ya machokoraa toka Tandale

Huyo unaemsema hajui english ana pesa ya kukulisha wewe na mkeo hapo mathare mpaka mnakufa, the big deal is not about language but money you make, pamoja na english yenu mbona mmejazana hapo kibera? Diamond hajui english but ana maisha bora kuliko 80% ya population yote ya kenya.

Naona umeumia sana kusikia jamaa anafanya ngoma na international stars, hiyo ndo big deal, sio wasanii wenu wanajua english still nyimbo zao zinaishia kupigwa kibera na mathare, hahahaaaa, pole sana ila kumbuka wivu ni kidonda ukishiriki utakonda. Kumuonea wivu mond ni kujitafutia magonjwa ya moyo bila sababu coz he will always be disappointing you, as he will always be making big deals n money. Acha wivu wa kike, kama unahasira sana kajiunge alshabab ujitoe muhanga.
 
Mimi natambua King kiba. ....na Darassa.wengine ni wa kawaida tu....ata Rayvanny siku hizi hatoi hit..... nilipenda kijuso,zezeta na Ile collabo yake na bahati.
 





....mbona werevu wako hauonekani hapa jf. ..labda wa kijiji chako waweza kuwahadaa
 
pumbavuu wa Tandale ww...mshamba Diamond atakulisha wewe na chokoraa wenzako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…