beautiful nature view of usambara mountains in lushoto.
/QUOTE]![]()
Mkuu ni mtz ila ulichopost ni aibu tupu.Hivi natural resources unaweza ringia vipi?Kwa vile umejikuta tuu ktk nchi na hujaongeza kitu ?Ndio unaanza ringia?Hembu weka kitu kinachoweza onyesha tofauti ya watz ktk maendeleo.Sio vitu ambavyo hata ingekuwa kuna wanyama tuu bado nchi ya Mungu ingekuwa na mazingira mazur, tena pengine kuliko sasa.
amekurupuka...hawa ndio wale watz walioiukuta thread imeshafika kwenye maelefu ya pages...badala kutafakari au kurudi nyuma page kadhaa kuchunguza atmosphere ya thread, wanakurupuka tu na kuanza kusema dar haiwezi kuizidi nairobi kwa maendeleo.yaani wana mentality ya kinyonge mno na hali ya kutojiamini.Point yako nini hapo??nahisi hujui kinachojadiliwa humu ndani

Hahaaa hawa jamaa nawasiwasi ni wakenya sio bure,maanke wanaibukiaga patamu hafu wanatema pumba na kupoteaamekurupuka...hawa ndio wale watz walioiukuta thread imeshafika kwenye maelefu ya pages...badala kutafakari au kurudi nyuma page kadhaa kuchunguza atmosphere ya thread, wanakurupuka tu na kuanza kusema dar haiwezi kuizidi nairobi kwa maendeleo.yaani wana mentality ya kinyonge mno na hali ya kutojiamini.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Pengine ujinga wa ccm unakusumbua sana.Nipo long time hapa, na nimewakata kimblele wakenya. ILa kwa vile maccm akili zao na uwezo wao ni kurukia chadema kwa vile wanajua hawatadhurika kwa vile wanalindwa na kila kitu ktk dola. Ila nje ya hapo , maccm yote ni hovyo,hata maprof wao ukiwasikia ktk majukwaa makubwa mnata huruma. Sasa kwa akili yake wewe gamba, hapa vitu vya asili vinakusaidia nini?Hata wanyama si wanaweza ishi nchi nzuri kuliko binadamu.nicholas
wewe ni mtu wa chadema...nahisi umekurupuka.
hili jukwaa huliwezi...rudi kule kwenye majukwaa yako ya kupiga porojo za kisiasa na kufanya uhanaharakati uchwara.
kwani mapato yatokanayo na secta ya utalii nchini unadhani vyanzo vyake nini?.magorofa ya posta mpya?...au kigamboni bridge?
Hapa ni matema beach kama sikosei.beautiful nature view of nyasa district.
![]()
![]()
![]()
![]()
ndg.Pengine ujinga wa ccm unakusumbua sana.Nipo long time hapa, na nimewakata kimblele wakenya. ILa kwa vile maccm akili zao na uwezo wao ni kurukia chadema kwa vile wanajua hawatadhurika kwa vile wanalindwa na kila kitu ktk dola. Ila nje ya hapo , maccm yote ni hovyo,hata maprof wao ukiwasikia ktk majukwaa makubwa mnata huruma. Sasa kwa akili yake wewe gamba, hapa vitu vya asili vinakusaidia nini?Hata wanyama si wanaweza ishi nchi nzuri kuliko binadamu.
Ongezeni vitu vinavyoonyesha maedeleo ya binadamu ,vitu vilivyotengenezwa na binadamu kwa elimu, juhudi , uvumilivuna akili na utamaduni mzuri.
inawezekana....kumbuka ziwa Nyasa limezunguka mpaka kyela huko mbeya.Hapa ni matema beach kama sikosei.
Acehni wehu nyie maccm.Na jinsi mnapeana support ktk ujinga mnatia aibu.Umenirukia sijui ni chadema?Chadema sio mtazania?ndg.
hii sio thread ya kuandika porojo nyingi kama unavyotaka wewe iwe.
rudi page za nyuma za hii thread ili angalau upate picha kimili ya namna gani hii thread ina trend.
fanya hivyo then rudi hapa uandike porojo zako hata ukurasa mzima.
kwa taarifa yako tu,picha za mvuto wa asili wa tanzania nilizo upload,nilizi upload tu kama by the way,theme ya thread ni dar vs nairobi.