Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hujishangai ww unapanda treni ya mchina tena ya magumashi na unashangilia kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwao hadi skyline nzima ni ya Mchina, barabara ya Mchina, na wapo proud ila Nchi nyingine shida [emoji23][emoji23][emoji23] Ila tofauti na Bongo, wabongo wamenunua kwa hela zao[emoji23] wao ndio wanasherekea mali za mchina kabisa[emoji23] Angalia hiyo Audacity sasa[emoji23]
 
They should explain to us what goes on in their heads bana
 
Hawa majirani ni wajinga sana wanawezaje kupinga ujenzi wa mradi wa EACOP kwa kisingizio cha mazingira wakati wao wanakaa kwenye mazingira machafu kabisa hapa EA.

Charity brgins at home.
Wivu wivu tu. Kipindi wanataka mradi upite kwao kulikuwa hakuna athari za kimazingira ila kwa kuwa ni Tanzania wanashinda wanazunguka dunia nzima kupiga domo ili mradi usitekelezwe.
 
Kwa mipango ya jiji la Dom kama itatekelezwa kama ilivyopangwa nadhani tutawazidi hao Abuja
 
Uko proud kupanda maBUS za china as an AFRICAN!!!
Kazi IPO.

All major buildings Nairobi - owned by Chinese
SGR - 100% Owned by Chinese
Express way - 100% owned by Chinese
90% of business in Nairobi - Owned by Somalis
Ans as we speak All projects in Kunya are funded by Chinese,
Kilimo cha Maua na Chai - Muzungu
Real estate Nairobi - Politicians .
 
Yani hata nashangaa wakat mwengine hua najiuliza hawa watu wanamatatizo gani au ni ugumu wa maisha 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…