Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kujenga iyo government city kama ilivyo kwenye plan sio suala la kuisha mwaka huu..usisahau mbali na office za wizara na taasisi kuja mizigo mingine mingi ya kuweka pale ili pakamilike

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Lakini government city mpaka mwaka huu unaisha watakua wamefika mbali sana na nimeskia pia baadhi ya balozi wameanza miradi yao dodoma pia
 
Lakini government city mpaka mwaka huu unaisha watakua wamefika mbali sana na nimeskia pia baadhi ya balozi wameanza miradi yao dodoma pia
Government city sio majengo ya wizara na taasisi pekee...kuna hadi maeneo ya residential, maeneo ya shopping and recreational, kinachofanyika kwa sasa ni Hatua ya awali ya kujenga wizara ili kazi zihamie pale rasmi...izo maeneo mengine yatahitaji watu kuwekeza nk...

Lakini all in all picha tumeshaliona patakua pazuri sana...

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Wacha feelings bongolala 😂😂
Kifo iliahidiwa na Mungu wala hakuna atakayeikwepa. Sisi tunashangazwa tu vile mlidanganywa kuhusu kifo chake na serikali yenu na kuamini kila kitu mlichoambiwa while everything pointed to the fact that something was amiss
 
Kujenga iyo government city kama ilivyo kwenye plan sio suala la kuisha mwaka huu..usisahau mbali na office za wizara na taasisi kuja mizigo mingine mingi ya kuweka pale ili pakamilike

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Faraja yangu ni kwamba hayo yote (ujenzi wa government City) yametokea ndani ya kipindi cha chini ya miaka mitano tu .. Ila ona maajabu 👇
 
Wajamaa walitutusi na kusema tuna royo mbaya, then the guy ends up being dead bana[emoji2297] facts na mibongolala though
Rais wa nchi anakosekana kuonekana hadharani for a whole week hadi foreign media houses start reporting on the same na huku Mibongolaa wanaambiwa na waziri wao mkuu eti yupo busy "anachapa" kazi.

When the same foreign media houses start reporting of his ill-health and a president being treated in a foreign country, they hurl all manner of abuse saying tuna roho mbaya.

After all these denials, they (the same government that has been denying reports) wake up one day and announce that their president is dead! Alafu mibongola wanapigwa na butwaa!!! I mean how?!
 
Wacha kuongea uongo wewe .. internet haisahau kitu.. rumors kuhusu Magufuli kuwepo kenya kimatibabu zilianzishwa na Tundu lusi huko mitandaoni, kwasababu nyinyi ni wapenda kutembea na upepo media yenu Fulani ikapita na hiyo taarifa, na baadae ikakanusha.. unabisha.?
 
Ngojea matusi [emoji23]
 
Hizi ni slums lakini zikifika tz ni dream houses i see what you did there[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…