Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kabla Magufuli hajafariki tayari hilo lilikua solved na ushahidi upo na WB wakaahidi kutoa huo mkopo Magufuli akiwa yupo ofisini, kikubwa kabisa hakuna sehemu Magufuli alipinga wanafunzi wajawazito wasirudi shule sababu toka uhuru walikua hawarudi kikawaida shule isipokua kupitia
MEMKWA (Mpango wa Elimu Kwa waliokosa) au vocation colleges, QT na sio kukaa darasa moja na wengine kama ilivyokua ikilazimishwa.

On top of that bado huo sio ushahidi kwamba Magufuli ndio Chanzo cha ukosefu wa wanafunzi kwa miaka 13 Nyerere University
 
Makenya yamechanganyikiwa na picha za EACOP yameenda google kuangalia kama habari zina ukweli wowote wakati picha yameona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wakunya wana wivu na roho mbaya sana, leo naona twiter kuna mkunya mwanamziki uchwara anaichafua TANZANIA JNIA eti aliibiwa hapo vilaptop vyake? huku si kuuchafua uwanja wetu uonekane una wezi kama JKIA? wahusika wa airport wamnatakiwa wakanushe upuuzi huu mara moja! poor kenyans
 
Hiki chuo kilianza kisiasa zaidi, magufuli akakipiga pin na kuelekeza nguvu zake katika kuanzisha katavi campus of agriculture ya sokoine university, badala ya kuanzisha chuo kipya cha kilimo
 

Mombasa Northern Bypass and Bamburi Link Road | 38.6km inclusive three-tier interchange, clover interchange + other interchanges. 8 lanes road and bridges. Dar hakuna by pass​

 
Mi naona magufuli this magufuli that iishe tujadili hoja tu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Hii MEMKWA ni kwa wanafunzi "walikosa" kuchaguliwa sekondari au "waliokosa" kwa kupata ujauzito shuleni>
MEMKWA haswa ni program ya utoaji wa Elimu ya msingi kwa watu wazima waliokosa nafasi wakiwa wadogo kwa sababu za aina yoyote iwe umri, ugonjwa, mimba, ulemavu, ndoa za utotoni, shinikizo la wazazi nk

Ina advancement yake mpaka secondary na elimu ya juu kupitia OUT (Open University of Tanzania)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…