Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

aise hao mahousehelp ni wengi sana.....hongera yao wakenya kwa kuwa na househelp wenye faida...[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
 
Sasa diamond hua anaiba nini? Heri Ali kiba hua anaeleweka
anaiba?...we mkikuyu mjinga,jifunze kwanza lugha ya kiswahili ndio ujadiliane na mimi.

hukutakiwa kuandika "anaiba"...ulitakiwa uandike "anaimba".

anakushinda hata collomzii,siku hizi yupo vizuri kiasi kwenye kiswahili.[emoji23]
 
anaiba?...we mkikuyu mjinga,jifunze kwanza lugha ya kiswahili ndio ujadiliane na mimi.

hukutakiwa kuandika "anaiba"...ulitakiwa aandike anaimba.

anakushinda hata collomzii,siku yupo vizuri kiasi kwenye kiswahili.[emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
anaiba?...we mkikuyu mjinga,jifunze kwanza lugha ya kiswahili ndio ujadiliane na mimi.

hukutakiwa kuandika "anaiba"...ulitakiwa aandike anaimba.

anakushinda hata collomzii,siku yupo vizuri kiasi kwenye kiswahili.[emoji23]
Mama wewe kiswahili ndio nini?
 
Darassa ako sawa....Ali Kiba tena sana...Vanessa Mdee respect...na ile group sijui wanajiita aje...group ya mwanadada na jamaa flani wameimba kamatia chini... wako poa sana...wengine wote washamba
 
huwa nasema kila siku,elimu ya kenya hijasaidia kuwatoa vijana wengi wa kenya katika kundi la wajinga.asante comrade kwa kuliona hilo.
usifananishe elimu ya Kenya na elimu ya Bongo ww...aibu tupu... watu ambao mnafunza kila kitu kwa Swahili...lol! yaani mpaka Chemistry na Physics mnafunzwa kivipi? elimu ya kijinga sana hio
 
kama elimu yenu ni bora,mbona mna ujinga sana?...au elimu yenu ime-concentrate katika kuwafunza kingereza pekee?.smh.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wajinga huwa wanaelewana vizuri na wajinga wenzao....kama mkenya mjinga, mtz mjinga mara tatu kisha wewe mtu wa kuleta oicha za kibera na kupiga makofi kana kwamba sijui una matatizo ya kiakili ndio mwerevu? kama ww ndio mwerevu basi nawaonea huruma wengine...
 
wajinga huwa wanaelewana vizuri na wajinga wenzao....kama mkenya mjinga, mtz mjinga time three
zamani nikiwa primary school nilikuwa na mentality potofu sana.

nilidhani kila anayezungumza kingereza ni mwerevu.kumbe sikuwa sahihi.

nilipofika nairobi kwa mara kwanza nilistaajabu sana,nilikutana na baadhi ya vijana wa kikenya wapo so eloquent kwenye kingereza lakini ni wajinga sana.

hata ukifanya nao discussion ya kawaida tu, it was so easy for me know that i was discussing with a nincompoop.

vichwa vyao vilikuwa vizito sana(thick headed)katika kuchanganua mambo.
 
kuzungumza Kiingereza kizuri sio kipimo cha werevu...hapo nakubaliana nawe...ila ujinga ni kuleta picha za Kibera na kupiga makofi...huo ndio ujinga...
 
kuzungumza Kiingereza kizuri sio kipimo cha werevu...hapo nakubaliana nawe...ila ujinga ni kuleta picha za Kibera na kupiga makofi...huo ndio ujinga...
kibera hoyeeeeeee!!!!
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…