Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

this is quality music...sio hivyo vijiswahili vyenu vya peni mbili...
 
Sasa diamond hua anaiba nini? Heri Ali kiba hua anaeleweka
 
haya wachana na wizkid....unamjua Ice prince??
namjua kwa upande wake anafanya vizuri ila rapper mbaya ambaye jina lipo kwa africa angalau anaweza kuwanyonya marapper wa marekani kidogo ni salkodie na hii yote ni kutokana na mitapiko ya flow zake anavyomix kighana na english kwa ile voko yake

nadhani uliona jinsi ACE HOOD alivyofanywa Ila wengine ni soft kiasi cha kwamba dizain ya rapper wa aina hyo wapo almost dunia nzima ila hawajapata nafasi tu
 
kiingereza ndiyo kukigusia lazima....ila ukikigusia nyimbo nzima.....unapotea kwani mziki wa aina ile niwakwao nawameshauzoea yaani utakuwa huna jipya endapo ukitumia full english
huwa pia naskiza za Kiswahili ila taarab pekee yake....sio upuuzi wa Diamond
 
bonglo flava lol!! who the hell listens to Bongo flava if not for househelps and chokoraas??
yaani majungu sikuzote humfanikisha mtu afike juu zaidi kuliko sifa nzuri...[emoji112] [emoji112] [emoji91]
 
hapo nakubaliana nawe...Sarkodie is on fire...huyu ni motooo
 
shida huyo jamaa wenu haezi kiingereza...ndio maana anasikika tu hapa EA...wale kina wizkid wapo level ingine bana...si level ya machokoraa toka Tandale
Kwaiyo unamaanisha alivyokutana na Ne-Yo na Morgan Heritage na Rick Ross the Boss walizungumza na kuelewana kwa Kijaluo? Hivi huko mashuleni mnafundishwa ujinga pia?
 
Kwaiyo unamaanisha alivyokutana na Ne-Yo na Morgan Heritage na Rick Ross the Boss walizungumza na kuelewana kwa Kijaluo? Hivi huko mashuleni mnafundishwa ujinga pia?
pumbavuuu...Diamond ameimba wimbo upi wa Kiingereza??
 
tiyar na atapotea tu soon...yaan atakosa mashabiki kuanzia kenya,east africa,africa pia na dunia
 
Kwaiyo unamaanisha alivyokutana na Ne-Yo na Morgan Heritage na Rick Ross the Boss walizungumza na kuelewana kwa Kijaluo? Hivi huko mashuleni mnafundishwa ujinga pia?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Wewe unataka wasani wote east africa waimbe kama Diamond????.... Jinga sana
 
bonglo flava lol!! who the hell listens to Bongo flava if not for househelps and chokoraas??
kama wakenya wanaosikiliza bongofleva ni ma-housemaid na machokora,basi hawa hapa chini ni majowao,wote ni wakenya na hawaachi kuongeza views kwenye videos za bongofleva katika mtandao wa youtube.
[emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…