Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Billionaire aga khan ametua jijini dar leo kuangalia fursa za kuekeza zaidi tanzania
IMG_0308.JPG
 
Kwa kuwa we ni mwanaume uchwara ,vigezo vya kiume huna ,mambo mengine kwako hakuna unavyojidhani haufanani rekebisha ila utabaki kuonekana limbukeni .nilikwambia uki edit posts zangu nakuona mwanaume nusu ,njoo nikufunze madhili.
hatuhitaji matusi ukiona umezidiwa point unapiga kimya tafadhali sana
 
Umeona nikisema mie mtanzania? no wonder hamna akili maana kwelewa kwenu ni tatizo.
Basi kuwa kama wakenya wengine ktk hii thread. Tuma picha za majengo, barabara mambo ya uchumi wa kwenu kenya (kwafact). Na hii ndio Battle, sio kujifanya kivuli cha nchi husika ya tz ili ionekane kuna watz wanaishambulia tz kwa upande wa ke
 
uchiboy tunamwelewa...kichaa kwel kwel...the madman of this village na mwenzake kadoda😀😀
 
Back
Top Bottom