President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,624
- 94,225
Umeona lakini hii? kabla wewe hujazaliwa tayari tushaanza kutumia issue hiyo. Wewe mshamba wajuzi utayajulia wapi haya?Nilisema "kuweni original" patented or not, acheni kuwa copy cats... So kesho mtabandika magical tanzania pia kwa sababu neno magical haina patent?
Kwakujidanganya tuu hamjambo.Kenya is strategically located... More than even ZA..
Kwann hujapenda kuona RC anatumia LC 300 unaumia sana au??🤣🤣🤣🤣
Maneno yamejaa machozi mengi sana na kamasi lita 20 🤣🤣🤣🤣Nina aibu kupost hata V8 ya government...ni heri nipost probox ya serikali kwa sababu hatutaki pesa iharibiwe ovyoovyo.. nyinyi endeleeni kujivunia misuse of government funds I'm not on the same boat
Nina aibu kupost hata V8 ya government...ni heri nipost probox ya serikali kwa sababu hatutaki pesa iharibiwe ovyoovyo.. nyinyi endeleeni kujivunia misuse of government funds I'm not on the same boat
Government vehicle in Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hawa jamaa ni hatari sana kwa uchumi wa nchi yetu, watanzania tunatakiwa kuwa makini hasa kama serikali yetu itaendelea kulalaKijinga kile Kibibi na ushungi. Nyerere alifunga border zote na Kenya kwa takriban miaka 10 naaa.
Kenya is an enemy state.
Don YF alisema huu mradi ungeanza miaka 50 ijayo, sijui akiona hivi anajisikiaje!
Hongera hii ni hatua kubwaMkuu. Mimi nimeshaingia kwenye kilimo rasmi,sasa hivi huwezi kuniambia kazi za kajiriwa, sasa hivi mjini nakuja kuosha macho and then narudi zangu shamba ili muda wa kuja kustaafu (60yrs)kwa mtu aliyeajiriwa niwe nimeshatengamaa kiuchumi.
Unamkuta mtu ameajiriwa lakini hawazi maisha ya kustaafu. Miaka 45 anasema bado anaponda maisha. Miaka 2 kabla ndipo anaanza kuwaza ataishije mwishowe anajifia kwa depression.
Tukilima kwa malengo kilimo kinalipa sana. Mtaji ni ardhi tu mengine yanakuja yenyewe.
Wabongo kitu kikiwa kuzuri kwenye Nchi yao ni kufuru,hilo neno linatumika vibaya