Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umepata somo, tafuta wenzenu sio Kenya kabisaaa.., Kiswahili pelekea wa vijiweni wenzako.., nimekunyonga kabisa, wewe sio mzima tena, raha tele 😜😂😂😂,
Hakuna kitu chochote mnachotuzidi nyie kondoo.. we are building the entire City of DODOMA..
Na miradi kama
1. government City
2. msalato international airport
3. DODOMA outer ring road 100+ kms
4. Bus terminus+ Biggest market central zone Tz
5. DODOMA inner ring road
6. Water diversion project (From lake Victoria Mwanza -Dodoma)
7. TBA nyumba 3000 project
8. NHC 1500 housing project
9. Watumishi housing project

Hii ni kwa DODOMA tu .. 🤣🤣🤣🤣 miradi yote ipo U/C .. 👇.. sitaji miradi inayojengwa DAR wala Mwanza.. wala sitaji miradi mikubwa ya kimkakati ya kitaifa.. 🤣🤣.. then nataka uambie hadhira hapa mnaizidi Tz kwenye nini.?
 
Na kuna miradi ya mall pia usisahau kuna kiwanda kikubwa cha cement kinajengwa na kuna mradi mkubwa sana wa bwawa la farkwa
 
 
Don YF njoo hapa upate mateso .. ona vile The brand new government City inavyong'ara .. safiii kiboko ya takataka zote East Africa .
 
Ma estate yenu yamekaa hovyo hovyo sn, cku hz estate hazijengwi kama shule namna hiyo msee, yamerundikana sehemu moja hakuna hewa yn hovyo sn.
 
Angalia huu uchafu mazeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo ilikuwa zamani, cku hz sisi Watz ndio hatuamini kama Kenya kuna maisha mazuri wala hatuamini kama Kenya kuna miji mizuri kama bongo, hasa mm siamini kabisa kama Wakenya wanaenjoy maisha kama sisi, huwa nashangaa nkiona mkenya anajivunia Kenya mbele ya Tz yn naona kama anatania aisee. Mm huku kwetu mtaani mtu akikuomba hela ukimjibu kama Kenya mwanangu yn maana yake huna kitu ni njaa tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…