Hiyo inajibiwa na Mteza Mwache bridge, duol carriage(double) ya Mombasa..,Tz raha sana 🤣 Don YF heb check the longest bridge in East and Central Africa ndani ya Mwanza moja hiyo.. bila kusahau ni daraja la sita kwa urefup Africa nzima 👇.
Hii njia itakuwa imetokea Kiganjo bila shaka.Hii nayo ni highway? View attachment 2488793
Hata ukiumganisha haya Madaraja still hayatawahi fikia urefu wa Kigongo busisi bridge .. 🤣🤣🤣🚮Hiyo inajibiwa na Mteza Mwache bridge, duol carriage(double) ya Mombasa..,
View attachment 2488982
Na usisahau Makupa iliyo kamilika.., so Mwanza bado sana!!!...,
View attachment 2488989
This new terminal inawapa hawa viumbe tumbo joto tangu tuanze kuzipost jana. Na imagine hiyo ni terminals mbili tu!Nimeskia umenitag kulikonii dogo?, kumbe lift na escalator ndio definition yako ya world class facility eti?.., hizo ziko pia ndani ya malls dogo.., interior design sio maana ya neno "world class" facility kilaza, kuna vigezo vya kufanya Airport iitwe "World Class" zaidi ya interior design, ama cosmetics hehehe ona sasa ulivyo boya😂😂😂😂😂😂😂😂., kumbe unafananisha muonekano wa interior design ya JNIA na JKIA! kisha unataja eti "world class" bladfwakin kabisa wewe😝 😝 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Kama Mall tu..,
VS JKIA terminal 1B AND C.., Sama boy 255 mko na terminal zingine JNIA hizi levels kweli?....,
View attachment 2488969
View attachment 2488970
View attachment 2488967
View attachment 2488968
Wacha kuongea uongo mzeeThis new terminal inawapa hawa viumbe tumbo joto tangu tuanze kuzipost jana. Na imagine hiyo ni terminals mbili tu!
Kua unafanya utafiti kabla ya kukurupuka..,Ila Bongo tunasifa sana .. ndio nini kutengeneza mavitu makubwa makumbwa mazuri kama haya.. Ili jirani waumie au.? 🤣🤣🤣🤣🤣 Au ndio kusema tuna wapruvu rongi .? 🤣🤣🤣
Ingekuwa uongo wala haungeshugulika na kupost ile godown yenu refu kama mpini ya pundaWacha kuongea uongo mzee
Sijajua unamaanisha nini, kwamba sisi hatufanyi utafiti au.?
Daraja la 20m ulinganishe na daraja la 3.6km unaakili kweli?
Imetiwa nakshi kwelikweli 😂😂Siku kenya mkifikia hapa mambo yatakuwa fresh
View attachment 2488995
Kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake..Daraja la 20m ulinganishe na daraja la 3.6km unaakili kweli?
That's what we're doing.. kwenye ubora wetu hiyoImetiwa nakshi kwelikweli 😂😂
Yes hiyo nakshi inaitwa Tanzanite umeiona? Asante kwa kushiriki kuona.Imetiwa nakshi kwelikweli 😂😂
[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]Aerial view of Mount Kenya from Tharaka Nithi County
Chezea njaa, cholera na sasa super gonorrhoea ndio wanakufa kwa kasi sana
Hawa wako na kamoja tu..., JNIA banda la kuku 😂 😂 😂 😂 😂 😂This new terminal inawapa hawa viumbe tumbo joto tangu tuanze kuzipost jana. Na imagine hiyo ni terminals mbili tu!
Ila JNIA inakuuma mzee mpaka unaiita banda la kuku..🤣🤣🤣 sio kwa maumivu hayo.. haya poleHawa wako na kamoja tu..., JNIA banda la kuku 😂 😂 😂 😂 😂 😂