Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Hehehe, umepanic ..
Kenya ni nini sasa mzee, nimetembelea maitaifa makubwa ya ulaya ndio iwe hiyo Kunya . ?
In fact sehemu kubwa kabisa ya Kunya haijaguswa, iko fertile na haina ukame,
Ukame ni kisingizio tu mnatumia kuombea misaada ya vyakula, jambo la aibh zaidi mnapata misaada toka kwa nchi kama UAE.
Juzi mmeomba na mkapata msaada wa chakula toka Ukraine . Aibu.
 
source: Kenya Today
 
Kuna mtu anaitwa Mkikuyu- Akili timamu alikuwa anawapa dozi heavy humu licha ya kwamba ni mkenya lkn humwambii kitu kwa Tz na anajua fika kwamba Tz iko mbali sn uki compare na Kenya, si mlikuwa mnamkataa ndugu yenu humu au umesaau.
Huyo ni mtanzania mwehu, muongo kama mlivyo tu humu, alijiumbua mqwenyewe, vumili, mimi niko hapa kuwaanika na kueneza facts kuhusu Tanzania, wacha kujikosesha ufahamu na vimaneno..,
 
Eti 1970!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, imekuuma inabidi utumie nguvu nyingi kudanganyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, hiyo 1970 Tanzania ilikua nafuu sana, vitongoji havikukua vimetapakaa kama ilivyo sasa, wengi mlikua mnatembea miguu tupu kule vijijini wakati mnaishi kwa nyumba za nyasi na udongo, hizi uswazi, ufukara na uchafu mlizojaza Dar na miji zenu mmesambaza hivi majuzi tu mkijaribu kutoroka ufukara hohe hahe vijijini...,

1970 iko wapi hapa?πŸ‘‡πŸ‘‡ umeona paper bag hapaπŸ‘‡ kilaza?..., nyambaff, kubali kwenu hautapigwa, inauma ila zoea.., Dar, Zanzibar, Mwanza ni pacha wakufananaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚





2023 hapa pako hivi.., ni sasa ama mmejenga ma appartments kama Eastlands eti? ngojeni miaka mia moja mjukuuπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


Paper bag zikowapi kilaza?





 
Picha za 2012 wakati Tanzania ikiwa LDC. Pole
 
Nyie estate roads ziko sehemu za matajiri pekee lkn sehemu za mafukara kama Migori ni vumbi mwanzo mwisho, sisi access roads zipo mpk uswazi na nili share humu, hatuko sawa we are different msee.
Pia mimi nimeona hizo access roads uswazini.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ndani ya mitaa zenu hakuna barabara haswa, ni panya routes tu..., mko vasco da gama age bado kwa upana na ukubwa.., wachana na main roads kabisaaa, nyie bado sana..,




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…