Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo ni kawaida, kwani nyie c mlikuwa mnamkataa mkikuyu akili timamu humu mkasema sio mkenya kisa alikuwa anawachana ukweli.
Mkikuyu akili timamu si mkenya neither is he a kikuyu for a fact kila akiongeleshwa kikuyu alikua harespond
 
Akamwambia kabisa kachezee sehemu nyingine sio ya kilimo baadae tukimpa urais namuona akitumia kauli ya Magufuli "chezea kwengine sio Tz ya Bashe"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23] imebidi nicheke eti Kilimani sijui Coolest...

Mnatafuta vititle vya ******* ili muonekane kwenye world map...

Tusema ukweli kilimani pakawaida sana...kuna apartments tu na road zisizo na sidewalks
Dar barabara za tope tuseme nini?
 
Mwendelezo wa Takwimu kwa mujibu wa IFFHS.
Ligi kuu ya Tanzania bara πŸ‡ΉπŸ‡Ώ imekuwa ligi bora barani Africa no. 5, na no. 39 duniani kwa mwaka 2022
Ligi 10 bora Africa
1. Egypt πŸ‡ͺπŸ‡¬
2. Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ
3. Morocco πŸ‡²πŸ‡¦
4. Sudan πŸ‡ΈπŸ‡©
5. Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
6. South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦
7. Angola πŸ‡¦πŸ‡΄
8. Tunisia πŸ‡ΉπŸ‡³
9. Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬
10. Zambia πŸ‡ΏπŸ‡²



Tujikumbushe. Kwa mwaka 2021, tulikuwa ligi ya 10 Africa

Mwaka 2020, tulikuwa wa 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…