Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapajaparara mtaani kwane tu, Imagine hii ni kitu cha moto kabisa tarehe 17 mwezi wa kwanza maka 2023 [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa gari kama hili linatumia siku ngapi kukusanya taka just imagine [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ikiwa inatembea 1 km kwa siku nzima itamaliza lini
View attachment 2485907
Ebhanaeeeeeeee hii gari bado ipo road? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wadudu gani tena mkuu [emoji848][emoji848]
Hawa watu wa WEF wanamipango mingi ya ajabu ajabu, ikiwemo kuzuia watu duniani kula nyama kama za ng'ombe, eti ya wanyama hao wanaharibu mazingira (green agenda). Badala yake wanataka dunia ile wadudu, kama panzi n.k
 
Kama una connection huko, hili ni wazo nzuri la biashara, hii ni bonge la deal la kupiga hela 😁
Tena kwa jinsi Jiji lao lilivyozidiwa na takataka kuanzia CBD hadi kibera ukipata hili dili la kuishafisha Kanaiorobi utapiga hela ndefu maana hadi Jiji lije kuwa safi itachukua muda mrefu sana wa kusomba taka zote. Then ndio utaendelea na utaratibu wa kawaida kama huku bongo.
 
Hiyo gari ni two years old from YOM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…