Ugua pole pole..,Mpaka tunafunga mwaka 2022 Kenyan available power was 2200MW sasa leo January hata haijaisha wanasema iko 3000MW sasa hizo 800MW mmezitoa wapi kwa kipindi hiki kifupi? Hata ukiweka 200MW from Ethiopia bado haifiki 3000MW.
Kazi kucheza na makaratasi tuu mtaumbuka vibaya sana.
Rising electricity demand pushes Kenya on verge of rationing
Kenyaβs demand for power rose to 2,117 Megawatts (MW) in July in what saw its buffer capacity drop below the 100MW mark.www.businessdailyafrica.com
Mbona unaandika gazeti?Bongolala msiwe watu ambao hawakosolewi. Power rationing na power outage ni vitu viwili tofauti na zote zinasababishwa na vitu tofauti.
Power rationing inatokana na nchi kutokuwa na umeme wa kutosha kutimiza mahitaji ya watumizi on a daily basis. Matokeo yake ni umeme kupewa kwa mgao. Power outage nayo ni ukosefu wa stima in certain areas for a certain period of time say an hour, two hours, half a day, a whole day or two days na husababishwa mostly na technical issues au mitambo za kusambaza umeme kuwa na shida fulani. This can be caused by natural calamities kama Upeo kukana nyaya za kusambaza stima and such kind of things. Usijifanye muelewa na hakuna kitu unaelewa
Somo la tofauti kati ya slums and unplanned settlements nilisha litoa mara nyingi humu. Sasa usichoelewa ni nini??
Niambieni Kama zile dreamhouses zenu are not in squalid condition and overcrowdedShida ni elimu yao ya kutoka form IV kwenda chuo.
Kwa sababu kumuelimisha mtanzania ni mzigo mkubwaMbona unaandika gazeti?
Kuelimisha nyang'au ni mzigo mkubwa zaidi.Kwa sababu kumuelimisha mtanzania ni mzigo mkubwa
Angalau sasa umejua tofauti kati ya power outage na power rationing ni niniKuelimisha nyang'au ni mzigo mkubwa zaidi.
Fuatilia.Angalau sasa umejua tofauti kati ya power outage na power rationing ni nini
Oneni wakuu picha ya mwaka gn hii, Wakenya mkubali tu Tz imewazidi mana mnatafuta picha za kuendana na kwenu lkn mnakosa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona tushawazoea kila kitu chenu kibaya ni ya 70s na 90s ππAnajiliwaza na picha za 70s sijui za kijiji gn hukoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utaonaje barabara ni za vumbi kwenye hii picha wakati blind patriotism imekulemaza akili hadi macho?Mimi hapo sioni vumbi bali naona concrete roads leta picha ya ground ili uweze ku prove hoja yako.
You should know the population distribution in Kenya ndio utoe povu Northern Kenya is sparsely populated if you didn't knowAreas around Nairobi na Kisumu tuu ndio zinaonekana kwingine kote ni giza tororo.
Hizi ni slums kwa dunia ya leo.., yaani Dar is slum 90% na ndio ilivyo makazi mikoani ukatae ukubali, hii ni uchafu na picha ya ufukara, wacha kutetea upuzi tafuta suluhisho maana idadi inaongezeka kwa kasi!!.,Somo la tofauti kati ya slums and unplanned settlements nilisha litoa mara nyingi humu. Sasa usichoelewa ni nini??
Watakuambia hizo ni picha za 90s na 70s πππHizi ni slums kwa dunia ya leo.., yaani Dar is slum 90% na ndio ilivyo makazi mikoani ukatae ukubali, hii ni uchafu na picha ya ufukara, wacha kutetea upuzi tafuta suluhisho maana idadi inaongezeka kwa kasi!!.,
View attachment 2477401
View attachment 2477402
View attachment 2477397
View attachment 2477398
View attachment 2477399
Ah wapi, mnajiaibisha tu humu.., mnatumia nguvu nyingi mno kujaribu kuponda Kenya, yaani mnatafuta tafuta ya kupost, haiko obvious kama ilivyo Tanzania, yaani sihitaji kutafuta tafuta kule Tz, naweka tu aerial views na hiyo ni tosha, uswazi na ufukara umetapakaa, unaonekana kwa mtazamo wa kwanza, ndugu yako inabidi azurure ili kutafuta matako ya Kenya π π π π π π π π π ., poleni sana, inauma ila zoeaπππ₯π₯π₯π₯πππJana umekula kichapo heavy mpk ukakimbia, leo umerudi tena, kweli hii battle ni endless [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwingine amekuja kupiga picha za magari Kenya na kusema tulivyomasikini anasahau uhalisia wa hali ilivyo kwenye jiji lao kuuHizi ni slums kwa dunia ya leo.., yaani Dar is slum 90% na ndio ilivyo makazi mikoani ukatae ukubali, hii ni uchafu na picha ya ufukara, wacha kutetea upuzi tafuta suluhisho maana idadi inaongezeka kwa kasi!!.,
View attachment 2477401
View attachment 2477402
View attachment 2477397
View attachment 2477398
View attachment 2477399
Ni za current, na inakua worse kwa vile most of them are poor, can't afford standard living.,Watakuambia hizo ni picha za 90s na 70s πππ
Vilaza mifukara
Of course ni current. Don't you know they live in denial? Post any bad picture of Dar or anywhere in Tanzania here and they'll all camp here all day reminding you that hizo ni picha za 70s. Hata hii picha hiyo brt haingekuwepo wangekataa na kusema ni ya 90s.Ni za current, na inakua worse kwa vile most of them are poor, can't afford standard living.,
We waache tu waemdelee kulima maparachichi na maua [emoji1787][emoji1787]These guys are constantly chasing empty dreams of being the first in Africa or EA to have something of such magnitude. I always remind them here that they have misplaced priorities.
They need to learn how to wisely spend on things that are more productive such as agriculture, import substitution industries and tourism. That money if invested properly would have brought alot of multiplier effect on the economy.
Kwani huko sabuni za kuoshea vyombo hakuna!? Mbona masizi hivyo???Na hilo sinia la kuwekea chakula cha dogi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila simshangai sababu mpaka ikulu yao wanatumia hayo makarai halafu si mnakumbuka alisema anafanya kazi ikulu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2477017View attachment 2477018