The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Naombeni musave hzi picha zitakuja kusaidia baadae 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Usipande matatu aisee utarudi na kunguni Bongo!hzi ndio roundabout zao 🤣🤣🤣🤣 wamekalia kuijenga nairobi wanasahau nje ya nairobi kua kuna watu wanaishi View attachment 2476772View attachment 2476773
Niko na chuma moja mzee wanaishangaa kinoma naskia wajaluo wananiambie enhh tz imeshinda kenya kwa magari 🤣🤣🤣🤣Usipande matatu aisee utarudi na kunguni Bongo!
Wanaweza kuanzisha kampuni wakaisimamia.Tanroads kazi yao si kujenga barabara bali kusimamia wajenzi wa barabara!
Me mwenyewe nmecheka kweli kweliNaombeni musave hzi picha zitakuja kusaidia baadae![]()






Hii battle ifungwe…. Hamna kitu hapa, upanga inatoshana na 2/3 ya Nairobi




















I wish hizi chuki zenu dhidi ya Kenya mngetumia kuendeleza nchi yenu. Hamngekuwa mnaongoza kwa ufukara ukanda huuSio tu Tanzania , hakuna ndege ya any international airline inatua popote Kunyaland apart from Nairobi,
A reason tunasema kenya ni nairobi na nairobi ni Kenya, kwingineko kote wanaenda mavi kwa vichaka,
Huku TZ unafika Oman, Dubai, Doha, Amsterdam, Rome, Paris , Istanbul, African cities destinations etc directly to or from Kilimanjaro au Zanzibar,
Not necessarily From Dar.
Diversification of services.
www.google.com
africabusinessnetworking.com
www.google.com
www.capitalfm.co.ke
Twitter 13M followersTANZANIA..Superstars holiday destination.View attachment 2476742